Mnaikumbuka hii ya Tundu Lissu? Ilikuwa ni session ya asubuhi. Risasi 16 ndani ya mwili wake ilikuwa zimlaze ndani ya futi sita!

Hiyo ya pili imekaa kizalendo mpaka machozi yanakaribia kutoka.

Hasa hapo mwishoni anapomalizia kwa kusema, "maneno yangu yanaweza kuwa makali Sana, lakini Nani hapa anayeweza kuniambia haya ninayoyasema hapa Ni ya uongo? Nani hapa anayeweza kusema haya yaliyofanyika Ni sahihi? Maangamizi ya bunge letu yanatokana na hiki kibwagizo pendwa kinachoitwa hati ya dhararura".

Aisee so touching.. hata bunge zima wakiwemo CCM walinyamaza kimya kutafakari uzito wa kauli ya TL

Ni miaka mingapi itapita kumpata mbunge wa namna hii Tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
TL never boring yaani
 
Naona wengi hawajasikiliza vizuri clips zote mbili,tungelisikiliza kwa makini tungelia kwa jinsi tulivyo wa hovyo,tunatunga sheria zinazopingana zenyewe kwa ushabiki tu sijui tunakwenda wapi? na bado hao wanaotumulikia tunawafukuza bungeni,sijui baada ya 2020 nchi itakuwaje kama wapambe wa chama kimoja watajaa bungeni yaani MSIBA unalisubiri Taifa letu.
Pascal Mayalla
Kama System ya tanzania ingekuwa wazalendo Lissu angekuw White House hadi Dakika Hii
 
Nilikuwa napitia archives ya YouTube, nikakutana na hii hotuba yenye maneno makali kwelikweli ya Tundu Lissu dhidi ya watawala.....

Ilikuwa ni Septemba, 2017 alipopata nafasi ya kuchangia azimio lililoingizwa na wabunge wa CCM ndani ya bunge kumpongeza Rais Magufuli....

Ni kuhusu zile kamati za uchunguzi za akina Prof. Osoro na Mruma kuhusu mikataba ya uchimbaji na sekta ya madini kwa ujumla....

Wakitegemea kuwa jamaa (TL) ataiabudu na kuisifia sanamu iitwayo "MEKO", mambo yalikuwa tofauti sana....

Jamaa alishusha nyundo za uhakika za kuuponda uamuzi huo wa Meko na kamati husika huku akitumia facts, takwimu na historia....

Hii iliwaudhi sana wanaCCM wa ndani na nje ya Bunge. Nadhani hii ndiyo ilichangia sana kuharakisha mission ya kumuua siku hiyo hiyo ambayo kwa uwezo wa Mungu Yehova, ili- fail vibaya.....

Kiukweli Bunge kukosa wabunge kama hawa is a big tragedy na sisi wafuatiliaji wa bunge tumekosa ladha nzuri ya bunge halisi....

Hebu mtazame na msikilize wewe mwenyewe ktk video hii hapa chini.....

Hiyo ya dakika 11 na sekunde 29 alichangia asubuhi na mchana akapigwa Risasi....!!
View attachment 1369164
View attachment 1369176
Hii
Nimeisikiliza Hotuba Clip ya Pili nchi hii ilishauzwa kwa Elizabeti😀😀
 
Badala ya kushitakiwa MIGA tulilipwa billioni 700
Narudia tena, this is home of great thinkers mbona unawasumbua na rubbish post zako?
Hebu tuache leo jumapili tukiwa tumepumzika tule madini kutoka kwa wanao jitambua jukwaa hili.
Nenda kachangie huko Facebook utopolo wako, ebo!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa napitia archives ya YouTube, nikakutana na hii hotuba yenye maneno makali kwelikweli ya Tundu Lissu dhidi ya watawala.....

Ilikuwa ni Septemba, 2017 alipopata nafasi ya kuchangia azimio lililoingizwa na wabunge wa CCM ndani ya bunge kumpongeza Rais Magufuli....

Ni kuhusu zile kamati za uchunguzi za akina Prof. Osoro na Mruma kuhusu mikataba ya uchimbaji na sekta ya madini kwa ujumla....

Wakitegemea kuwa jamaa (TL) ataiabudu na kuisifia sanamu iitwayo "MEKO", mambo yalikuwa tofauti sana....

Jamaa alishusha nyundo za uhakika za kuuponda uamuzi huo wa Meko na kamati husika huku akitumia facts, takwimu na historia....

Hii iliwaudhi sana wanaCCM wa ndani na nje ya Bunge. Nadhani hii ndiyo ilichangia sana kuharakisha mission ya kumuua siku hiyo hiyo ambayo kwa uwezo wa Mungu Yehova, ili- fail vibaya.....

Kiukweli Bunge kukosa wabunge kama hawa is a big tragedy na sisi wafuatiliaji wa bunge tumekosa ladha nzuri ya bunge halisi....

Hebu mtazame na msikilize wewe mwenyewe ktk video hii hapa chini.....

Hiyo ya dakika 11 na sekunde 29 alichangia asubuhi na mchana akapigwa Risasi....!!
View attachment 1369164
View attachment 1369176
Hii
Hiyo nadhani ndio spichi yake ya September 7, nusu saa kabla hajapigwa risasi.
Lakini hapo simuelewi kidogo Tundu Lissu. Ugomvi kati ya nchi mbili LAZIMA upelekwe kwenye International Tribunal. Sasa,Tundu Lissu analalamika nini? Inawezakana vipi ugomvi kati yetu na Malawi uamuliwe na mahakama yetu? Au wàamue Wamalawi peke yao huko Lilongwe,sisi tusihusike?
 
Back
Top Bottom