Mnaikumbuka hii picha yenu ya pamoja wana JF?

misnomer

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
200
69
Jikumbushe, imekuwa siku nyingi wengine mmeshaisahau

JF.jpg
 
bujibuji anajifanya vanne damme!
bolfo nae na mkono anajifanya master wa kung fu!
 
Hahahaa nimemuona mtu fulani hapo alikua hajavunja ungo bado....sijui nimtaje huyo mwenye mzaiwa makubwa hapo nyuma kushoto ni nani huyo sio LITTLEAngel kweli huyo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom