Mnaiamini CHADEMA, niaminini na mimi, ni kweli Tanzania itachomoka hapa ilipo!

President Elect

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
693
212
Kila ninapowaza utajiri wa rasilimali za nchi yetu na kulinganisha na umaskini wa watu wa Taifa hili, napigwa na butwaa! Naamini kwa roho nyeupe kabisa bila ya kinyongo dhidi ya CCM, kuwa hapa tulipofikishwa na chama tawala pametosha, CHADEMA => IKULU 2015
 
Katiba mpya mnaitambua? Si mlimtaka Baregu ajitoe msusie mchakato sasa huo uchaguz wa 2015 katiba ipi mnapendekeza itumike!
 
Naunga Mkono HOJA.Safu ya juu ya CCM Imewekeza Mbinu mbalimbali za Kilaghai za Kubaki Madarakani kwa Gharama yoyote lakini haina Mbinu za Kisasa za Kuwakomboa Wananchi kutoka katika Umaskini uliotamalaki.Ipo haja kwa Wananchi kuungana na kuhakikisha CCM inachagua Viongozi Waadilifu na wenye Uwezo wa Kiuongozi au kubadili chama tawala.
 
kujikwaa si kuanguka; 'hatuikubali rasimu ya katiba kwa asilimia 100' Kinana - katibu mkuu CCM!
 
nimeamka, watanzania tumeamka, CHADEMA-M4C imetuamsha, waliolala wataamshwa tu na kelele za CHADEMA! au vipi potezea, si unatuona sisi wapuuzi => 2015, karibu IKULU!!!!!!
 
Hujasikia kule mbeya wana kambi ya mafunzo ya kijeshi? je lengo lao ni nini? cdm au cuf wakifanya hivyo ni kosa?
 
hii serikali inayofanya mtihani na kurisiti yenyewe lazima i'rest in peace 2015, haiwezi kuongoza akili kubwa.
7+8=14
 
Yu wapi celina kombani na welema? Ambao walipinga kwa nguvu zote

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
We chukulia tu ccm watutawale tena miaka 50, ivi kweli inaingia akilini ?! Ivi na wao ccm watakubali kweli?
 
Back
Top Bottom