jana kwenye taarifa ya habari saa mbili ITV niliona Mzee SITTA akizindikwa kuwa mzee wa mkoa wa TABORA
Sherehe hii kwa Tabora ina maana kuwa SITTA ni mtu aliyesaidiana sana maendeleo ya Tabora
SITA akihutubia alisema kuwa yeye na wenzake watetengeneza mtandao wa kuondoa dhuluma dhidi wa walalahoi unaofanywa na serikali na ua CCM,Mgeni mwalikwa alikuwa JAMES LEMBELI mzee wa ndege za Barrick
My take:SITTA ni mnafiki namba mmoja kuwahi kutokea katika siasa za leo.Tuliozaliwa lmiaka ya late 1980 tulikuwa tunaambiwa na baadhi ya wazee kuwa Maalim Seif ni mnafiki kuliko wazanzibar wote na sasa tumeanza kuamini.
Sitta hana punje ya uzalendo ila anakerwa na kunyimwa uwaziri mkuu, Sitta pia anatakiwa abebeshwa zigo la Dowans
Sitta mpaka kesho anaishi nyumba ya Spika, alijenga ofisi ya spika urambo?alikubali kuondoa dowans bungeneni kwa ahadi ya kuendelea na uspika?aliunga mkono posho, mkwewe alidakwa na takukuru akisambaza simu ila sheria imemwogopa.