Mnadhibiti vipi harufu ya "nnya" isitapakae hapo sebuleni?

Naona wengi hawajamuelewa mleta mada. Anaongelea ile harufu inauotoka wakati mtu anatoa mzigo.

Mbona simple tu,

Weka dirisha kubwa.

Weka milango miwili, na distance kati ya milango isipungue mita 1.

Hakikisha ukiwa ndani ya choo ukimuita mtu aliye sebuleni asiweze kusikia sauti.

Pia kwanin mlango wa choo utazamane na sebule? Siku ukipata mgeni mwenye aibu atashindwa kuingia chooni.
Kwahiyo atabaki na mavi yake
Kibaya uwe unaharisha kwa kutoa sauti kama sabufa utaghairi kunya
 
Ninaomba ushauri. Nimechunguza nyumba zetu nyingi zina shida sana ya harufu toka msalani mtu akipiga tukio kubwa. Bora huko vyumbani mtapambana na hali zenu, hiki cha wote jirani na sebule ni changamoto jamani.

Ukute una wageni kisha mtu akaenda kutupia, kisha ukute ni wale watu "nya" inanuka kama wamemeza nyoka ni balaa. Mimi huwa ninaona aibu sana.

Hivi shida ni ufundi ama ndo ipo hivyo, lazima mchezee harufu mpaka mkome? Wenzetu mmefanyeje hadi hamteseki? Msaada tafadhali.
Hili ni tatizo kwa nyumba nyingi

Unajua tatizo linaanzia kuwa Wabongo wanawekaadirisha madogo sana ya vyoo na huwa sijui sababu ni IPI, hivyo hewa haitoki nje ya kutosha

Pia mahali penye shimo la nje ni muhimu sana kuwekwa bomba zile za PVC kwaajili ya kutoa harufu nje kutoka shimoni moja kwa moja.
 
Kwa uzoefu wangu, harufu ya nya' wakati na baada ya kujisaidia utaikata vizuri tu kama..

1. Dirisha la chooni litakuwa wazi(fungua vioo) wakati unajisaidia
2. Kisha ukimaliza kujisaidia tupia sabuni hata ya unga kwenye sinki na shimo kisha umwage maji mengi/flash. Nakuhakikishia utatoka chooni na harufu imeshakata tayari
Kwanza dirisha la choo hakitakiwi kifungwe kabisa. Wanaofunga huwa wanafunga kwasababu ipi hasa?

Pia ni kwanini watu wasiweke bomba la kutoa harufu nje pale kwny shimbo kubwa la choo? Kwasababu bila hivyo ni lazima harufu itarudi tu ndani.
 
Sewage system haikuwa sawa.

Maji pia yamwage ndo nzima kwa ajili ya usafi wa afya zenu na kuondoa harufu hiyo.

Mafundi wapya wengine wape kazi hiyo warekebishe mabomba na mifereji ya majitaka.

AU: Acha kutumia choo cha ndani kwa siku 30 ukimwagia kreti zima la soda za COCA au PEPSI zipite siku 30 na ndiyo uanze kukitumia tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom