Mnada wa magari bandarini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnada wa magari bandarini.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Jaluo_Nyeupe, Aug 6, 2011.

1. Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

#1
Aug 6, 2011
Joined: Dec 21, 2010
Messages: 2,269
Likes Received: 413
Trophy Points: 180
Wanajamii,
naulizia mnada wa magari bandarini unafanyika lini au huwa unafanyika kila tarehe ngapi kwa anayefahamu naomba anijuze hilo.

2. u

ureni JF-Expert Member

#2
Aug 6, 2011
Joined: Jun 14, 2011
Messages: 1,272
Likes Received: 232
Trophy Points: 160

Nakumbuka kwenye mwaka jana mara nyingi walikuwa wanafanyaga kila siku ya jumatatu,ukitaka urahisi kawaulize jamaa wa majembe action manake ndio wao wamepewa hiyo tenda na TRA.

3. King Kong III

King Kong III JF-Expert Member

#3
Aug 6, 2011
Joined: Oct 15, 2010
Messages: 25,153
Likes Received: 2,402
Trophy Points: 280
Ni JUmatatu na Alhmisi mkuu!! ila kila siku unaweza kwenda kuyaona kwenye yard yao,Majembe ndo wanayanadi pale(JUMATATU NA ALHAMIS TU)

4. MJINI CHAI

MJINI CHAI JF-Expert Member

#4
Aug 6, 2011
Joined: Dec 12, 2010
Messages: 1,801
Likes Received: 585
Trophy Points: 280
Hufanyika kila Jumamosi.........

5. FaizaFoxy

FaizaFoxy JF-Expert Member

#5
Aug 6, 2011
Joined: Apr 13, 2011
Messages: 58,103
Likes Received: 22,144
Trophy Points: 280
wanafanyaga = wanafanya

6. Imany John

Imany John Verified User

#6
Aug 6, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,777
Likes Received: 262
Trophy Points: 180

Ndo mana nakukubali kiaina.

7. u

ureni JF-Expert Member

#7
Aug 7, 2011
Joined: Jun 14, 2011
Messages: 1,272
Likes Received: 232
Trophy Points: 160

Faizafoxy ulikua umetulia naona unataka kuanza makeke yako,hilo neno ndio limekuvutia kulirekebisha,basi utakua mwalimu wangu wa kiswahili humu jamvini.

8. u

ureni JF-Expert Member

#8
Aug 7, 2011
Joined: Jun 14, 2011
Messages: 1,272
Likes Received: 232
Trophy Points: 160
We mpambe wa FaizaFoxy angalia hiyo

mana=maana
Ndo=Ndio

9. Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

#9
Aug 7, 2011
Joined: Dec 21, 2010
Messages: 2,269
Likes Received: 413
Trophy Points: 180
Asanteni kwa taarifa wakuu ila nimejaribu kutembelea tovuti ya tra, bandari na blog ya majembe sijaona chochote kuhusiana na mnada. Kuna anayefahamu ofisi za majembe zilipo?

10. yutong

yutong JF-Expert Member

#10
Aug 7, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 1,604
Likes Received: 8
Trophy Points: 0
Hiyo kupata gari mpaka uanze kuhonga kwanza kwa maofisa wa tra ndo unalengeshwewa.

11. H1N1

H1N1 JF-Expert Member

#11
Aug 7, 2011
Joined: May 29, 2009
Messages: 4,201
Likes Received: 528
Trophy Points: 280
majembe wapo mwenge barabara ya coka cola,kama mita 200 toka mataa ya mwenge kuelekea kokakola

12. newmzalendo

newmzalendo JF-Expert Member

#12
Aug 7, 2011
Joined: Mar 23, 2009
Messages: 1,359
Likes Received: 65
Trophy Points: 145
mnada ni kwa ajili ya wenye show rooms tu.nenda utajionea

13. Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

#13
Aug 7, 2011
Joined: Dec 21, 2010
Messages: 2,269
Likes Received: 413
Trophy Points: 180
hebu naomba ufafanuzi hapa zaidi. Ina maana tusio na showrooms za magari hatutakiwi kushiriki mnada?

14. Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

#14
Aug 7, 2011
Joined: Dec 21, 2010
Messages: 2,269
Likes Received: 413
Trophy Points: 180
asante mkuu, nitawatafuta ili nifahamu zaidi.

15. u

ureni JF-Expert Member

#15
Aug 7, 2011
Joined: Jun 14, 2011
Messages: 1,272
Likes Received: 232
Trophy Points: 160
We ujue hayo magari yote yanakuwa yameshanunuliwa tayari wewe utaenda pale kama mtazamaji usitegemee kupata.utapandishiwa bei mpaka uchanganyikiwe.

16. k

kipakaMwitu Senior Member

#16
Aug 7, 2011
Joined: Feb 19, 2009
Messages: 159
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
daah! N1H1 kirus cha ajabu sana,kumbe kipo jf!?? Kuwen makini!

17. Chilai20

Chilai20 Senior Member

#17
Aug 7, 2011
Joined: Apr 4, 2011
Messages: 107
Likes Received: 0
Trophy Points: 33

narekebisha kidogo..mnada unakuwa j'4 tunafanya pale bandarini (malindi) na alkhamis huwepo ubungo..hakuna cku nyengine zaidi ya hizo..

18. newmzalendo

newmzalendo JF-Expert Member

#18
Aug 7, 2011
Joined: Mar 23, 2009
Messages: 1,359
Likes Received: 65
Trophy Points: 145
Mnada unaendeshwa na Mwenyekiti wa mnada na Majembe auctioneers,tatizo shughuli nzima inaendeshwa kwa siri siri bila uwazi,jaribu kuhudhuria ndio utaelewa nini kinaendelea.kwa wenye show rooms tayari wana mtandao na wahusika.

19. Jaluo_Nyeupe

Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

#19
Aug 8, 2011
Joined: Dec 21, 2010
Messages: 2,269
Likes Received: 413
Trophy Points: 180

Asante kwa marekebisho. Je Ubungo sehemu gani? Kama wewe ni muhusika (Majembe) je ni kweli kuna kufahamiana kwenye hiyo minada au ni haki bin usawa?

20. Petiro

Petiro JF-Expert Member

#20
Aug 11, 2011
Joined: Nov 12, 2010
Messages: 312
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Tafadhali atakaehudhuria huo mnada tafadhali utujuze yanayojiri huko.

Loading...