Mnada wa bikira euro 10,000? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnada wa bikira euro 10,000?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mike-Austin, Apr 28, 2009.

 1. Mike-Austin

  Mike-Austin Member

  #1
  Apr 28, 2009
  Joined: Nov 20, 2008
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatimaye Bikira Yake Yanunuliwa Kwa Euro 10,000


  Alina Percea Monday, April 27, 2009 5:39 AM
  Yule msichana wa Romania aliyatangaza kuiweka bikira yake kwenye mnada nchini Ujerumani miezi michache iliyopita amefanikiwa kupata mteja baada ya mnada huo kuisha na mwanaume mmoja raia wa Italia kufikia dau la euro 10,000.
  Alina Percea mwenye umri wa miaka 18 aliinadi bikira yake kwenye tovuti moja nchini Ujerumani miezi michache iliyopita.

  Alina alipanga kuzitumia fedha atakazopata baada ya kuuza bikira yake kwaajili ya kujisomeshea chuo kikuu na kuisaidia familia yake masikini iliyopo nchini Romania.

  Mnada huo ulifikia tamati siku ya alhamisi kwa Muitaliano mmoja ambaye hakutajwa jina lake kuibuka mshindi katika dakika za mwisho mwisho za mnada huo.

  "Nasubiri kwa hamu, nilifikiri dau lingepanda juu zaidi lakini hata hivyo nina furaha" alisema Alina.

  Alina aliwasili Mannheim, Ujerumani mwezi januari akitokea kwao Romania na aliamua kuingia kwenye mnada huo baada ya kushindwa kupata kazi.

  Mnada huo uliingia dosari wiki tatu zilizopita baada ya mwalimu wa shule ya zamani ya Alina kudai kuwa Alina sio bikira.

  Hali hiyo ilipelekea Alina ambaye kabla ya mnada huo alipimwa bikira yake, ilimbidi afanyiwe majaribio kwa mara ya pili kuthibitisha bikira yake.

  Daktari aliyemfanyia majaribio hayo alitangaza katika kikao na waandishi wa habari kwamba "Alina kweli ni bikira na hajawahi kufanya mapenzi".

  Alina aliamua kuinadi bikira yake baada ya kuona mafanikio aliyoyapata mwanafunzi wa Marekani Natalie Dylan mwenye umri wa miaka 22 ambaye alipata mteja wa bikira yake aliyoinadi kwenye tovuti moja nchini humo aliyefikia dau la dola milioni 3.5.

  " Hakuna mtu aliyeniambia nifanye hivi, ni matakwa yangu binafsi" alisema Alina.

  "Sijui ni lini au wapi nitakutana na mshindi wangu, lakini nafurahia kusafiri iwapo atalipia gharama za usafiri".

  "Tutaenda hotelini katika wiki chache zijazo na tutatumia usiku mmoja pamoja, na kama tukipendana tunaweza tukakaa pamoja na usiku wa pili".

  "Tunaweza tukatumia kondomu au kama atafanyiwa vipimo vya magonjwa ya zinaa niko tayari kumeza vidonge vya kuzuia mimba".

  "Natumaini jamaa ataelewa kuwa mimi ni bikira hivyo atanihudumia vizuri" alimalizia kusema Alina.
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  What is this now!!!????
   
 3. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,922
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  kha kwa kweli zis is ze world.
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Si angeenda Marekani kiasi kingesogea kidogo? Shida mbaya jamani.
   
 5. Jeni

  Jeni Senior Member

  #5
  Apr 28, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwache aende kwa Muitaliano maana mhh haya. Hongera zake
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Hamna cha ubikira hapa! Huyo ni changudoa kama tunaowaona hapa Bongo! Sina hakika pia kama huyu muitaliano itakuwa vipi, maana wao upendelea mtandao wa ku-express yourself!

  Anyways - Money CAN BUY ANYTHING - EVEN "LOVE-"
   
 7. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135


  Wataliani sio mchezo kwa mitandao ya simu dadapoa wote wanajua hilo akienda na Mtaliani ni mambo ya samaki.
   
 8. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  what???
   
 9. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ikoje hapo J, iko vipi kwani?
   
 10. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Serious business as explained in Exchange Theory
   
 11. Jeni

  Jeni Senior Member

  #11
  Apr 29, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ndio maana nikasema aende salama.
   
Loading...