Mnaaosema vibaya Tanzania vita ya corona ona Kenya waliovaa barakoa ni wanaojiweza tu hohe hae hamna ona mwenyewe

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
The Senior Chief Police Officer for Huruma and Korogocho delivers a box with food and other basic goods to a woman affected by the measures adopted by the Kenyan Government to stop the spread of COVID-19 coronavirus at social hall in the Korogocho slums of Nairobi, Kenya on March 28, 2020. - Several groups of volunteers are organising themselves in Kenya's capital Nairobi to deliver food and basic goods, such as soap, to vulnerable groups of people such as street sellers, who have seen their businesses shut down, or elderly people in the slums since their livelihoods have been heavily affected by the curfew and other measures taken to stop the the spread of the COVID-19 coronavirus. Photo by LUIS TATO / AFP) (Photo by LUIS TATO/AFP)

1589939221034.png
 
Mkuu Chadema usiwachukulie serious sana
Wao wanaamini kupinga kila Kitu ndio mafaniko kisiasa
Mnafanya makosa ku.assume kwamba CHADEMA kwa ujumla inapinga na CCM kwa ujumla inaunga mkono njia ilizotumia serikali ya JPM kulikabili janga hili. Kwa taarifa tu ni kwamba kuna CHADEMA wanaokubali na kuna CCM wanaopinga njia iliyotumika. Ingekuwa CCM wote wanakubali, tusingesikia Waziri wa Afya anatumbuliwa
 
"Fukia kichwa mwanaharamu corona apite" Ndugu zangu Watanzania tumsifu Raisi wetu jemadari John Pombe Magufuli na Baraza la la Mawaziri kwa kutuletea mkakati bora kabisa wa kuishinda corona

Tumshukuru Raisi wetu mwenye mapenzi kwetu na majirani zetu
Hatimae tumeitokomeza corona kusikojulikana

p08dks21.jpg

Tumsifu Raisi wetu
 
Nipo nyumbani kwangu nakula Bata na nitakapo toka nje lazima barakoa na portable sanitizer.
Hahaha sasa huu si muda wa kazi? Au wewe ni kizito fulani hivi ambaye hata usipoenda job ni sawa?
 
The Senior Chief Police Officer for Huruma and Korogocho delivers a box with food and other basic goods to a woman affected by the measures adopted by the Kenyan Government to stop the spread of COVID-19 coronavirus at social hall in the Korogocho slums of Nairobi, Kenya on March 28, 2020. - Several groups of volunteers are organising themselves in Kenya's capital Nairobi to deliver food and basic goods, such as soap, to vulnerable groups of people such as street sellers, who have seen their businesses shut down, or elderly people in the slums since their livelihoods have been heavily affected by the curfew and other measures taken to stop the the spread of the COVID-19 coronavirus. Photo by LUIS TATO / AFP) (Photo by LUIS TATO/AFP)

View attachment 1454635
Hawajifichi wao wako wazi, mbona Marekani pia wapo ombaomba wa barabarani! Hiyo si hoja kwani hata mimi shuleni nilipatia jibu la swali kwenye mtihani ambapo aliyekuwa akiongoza darasani alilikosa hivyo hainipi sifa ya kutochekwa.
 
Back
Top Bottom