Mna maoni gani kuhusu hili suala la uvamizi wa Al-Shababu hapa Palma?

Ni kwanini sehemu zenye rasilimali tu ndio hao ‘ waislam’ wanavamia?
Kupigana vita ni gharama kubwa hivyo wanachofanya wanavania kwanza sehemu zenye raslimali wakishateka wanaanza wao kuuza hizo raslimali kupata pesa za kununua silaha ili wawe na nguvu zaidi za kupigana

Msumbiji wasiwachekee hao
 
Mkuu labda mie sielewi kwamba mabeberu wanapigana na mabeberu wenzao ama waafrika? Sababu nachojua huko tyr kuna kampuni za magharibi zinachimba rasilimali sasa kwanini tena watumie waasi wkt wameshamilikishwa madini?

Unajua hata DRC wanasemaga mabeberu yanaleta vita ili wapore madini lakini cha kushangaza hata maeneo walipoondoa waasi mfano then- Katanga province walipoondoa waasi bado wenye mkataba wa kuchimba walikuwa Total!! Same to Cabinda walitimua waasi ila bado wanaochimba off shore mafuta ni mabeberu!!

So mnaposema mabeberu wanaleta vita ili wachimbe almasi naomba mtusaidie je kukiwa na amani kma Tanzania ni nani anayechimba madini tena kwa mikataba ya kiwizi kabisa? Ama kukiwa na vita inawaongezea nni ambacho wanakikosa kukiwa na amani?

Cc Gerald .M Magembe
Mkuu, naona bado hujang'amua faida ya kutumia misamiati kama "mabeberu, vita vya kiuchumi," n.k., kwenye kipindi hiki.

Hii ni kampeni ya kupumbaza watu tu, hakuna la ziada.

'Mabeberu' ni hawa hawa wenzetu sasa wanaotutawala kwa nguvu.
 
Somalia wanañima sana miru gi na kuuza ulaya osama kule kwake Afghanistan ndio kunaongoza duniani kwenye kilimo cha cocaine !!!
Eeenh, wewe kweli ni chizi. Cocaine na Alfganistan wapi na wapi?

Halafu mtu apigane vita kwa sababu ya mirungi?

YEHODAYA, ukiendelea hivi utazeekea JF bila ya kupata uteuzi wa aina yoyote hata kama huyo jamaa atakaa madarakani miaka 50!
 
nenda youtube andika cocaine afghanistan Cocaine ni biashara kubwa mno Afghanistan.

Mirungi pia ni biashara kubwa mno
ndio maana Alshabab walivamia somalia ili wateke hiyo biashara pia Afghanstan kuna mashamba ya cocaine makubwa akina Osama Alkaeda wakavamia ili kuteka hayo maeneo .Mirungi na cocaine vinalimwa na waisñamu wa somalia na Afghanstan na kusambazwa duniani ulaya na marekani
 
Somalia kuna rasilimali? kaskazini mwa kenya kwenye lile jangwa kuanzia Mandera hadi Wajir kuna rasilimali?

Waafrika tuache kuwatupia lawama wazungu kwa internal failures zetu.
Vita na vurugu kwenye Nchi za Kiafrika husababishwa na Waafrika wenyewe.

Waliopo madarakani wanatengeneza makundi yao na kujiaminisha kwamba wao ndio wanaostahili neema za nchi na kuwaacha kundi kubwa nje wabaki kama Wapiga kura tu....na hao walioachwa wakipata uwezo wanaanzisha vurugu au hujuma....na walioko madarakani wanakimbilia kusema ni Mabeberu.

Kinachoendelea Congo, Somalia, Sudan n.k ni Watu/makundi kudhulumiana mali/madaraka tu na wala hakuna kingine.
 
nenda youtube andika cocaine afghanistan Cocaine ni biashara kubwa mno Afghanistan.

Mirungi pia ni biashara kubwa mno
ndio maana Alshabab walivamia somalia ili wateke hiyo biashara pia Afghanstan kuna mashamba ya cocaine makubwa akina Osama Alkaeda wakavamia ili kuteka hayo maeneo .Mirungi na cocaine vinalimwa na waisñamu wa somalia na Afghanstan na kusambazwa duniani ulaya na marekani
Hii inakuonyesha usivyokuwa na uelewa wa mambo unayoandika hapa.

Afghanistan hakuna cocaine hata ya dawa!

Unajua 'cocaine' ni dawa?
Hapana, usisumbuke, nakujulisha tu ujue.
 
Hii inakuonyesha usivyokuwa na uelewa wa mambo unayoandika hapa.

Afghanistan hakuna cocaine hata ya dawa!
Nakuhurumia sababu inaonyesha huwa unalishwa maneno kuwa kule ni waislamu swala tano video hiyo hapo jionee mwenyewe

Eeenh, wewe kweli ni chizi. Cocaine na Alfganistan wapi na wapi?

Halafu mtu apigane vita kwa sababu ya mirungi?

YEHODAYA, ukiendelea hivi utazeekea JF bila ya kupata uteuzi wa aina yoyote hata kama huyo jamaa atakaa madarakani miaka 50!
VIdeo hiyo hapo

Nakuhurumia sababu inaonyesha huwa unalishwa maneno kuwa kule ni waislamu swala tano video hiyo hapo jionee mwenyewe

Wewe unanihurumia mimi?

Yaani hadi hapa hujashtuka tu kwamba hujui unachoandika hapa?

Ngoja nikwambie tena kwa herufi kubwa kabisa kama macho yako yana matatizo:

"AFGHANISTAN HAKUNA COCAINE"

Siku zote nilijua una upungufu mwingi kwenye ufahamu wako, lakini sikujua kwamba uko chini kiasi hiki!
 
Vita ya Savimbi ilikuwa ideological kuliko maslahi? Kwamba hakuna aliyetaka kunufaika na almasi ya Angola?

Hapa Tanzania kulaumu kuwa tunapata 30% corporate tax ni kutaka kuleta lawama zisizofaa. Tufanye nini wakati hatuna mtaji? Unadhani kuikamata dhahabu ya Bulyanhulu bila mtaji ni rahisi. Lakini muwekezaji anakuja kuchimba kwa kupata vibari na taifa linanufaika. Tofauti na kufanyiwa ubabe wa kibeberu.

Drc waaasi wanateka maeneo na kuchimba madini kwa manufaa yao huku wakisaidiwa na mabeberu. Ndio maana ili Kabila apate hata kiduchu aliamua apate backup ya Zim na Angola.
Kwani DRC wamechimba bila vibali? Kwahyo Total na Exxon Mobil hawanaga vibali kwenye operations zao huko DRC? Nmekuelezea hapo Total ilikua inavuna 40% na Zim-Angola 40% huku DRC ikivuna 20% kwa gold huko Katanga mind you huo mkataba haukuwa maeneo ya waasi na ulikua wa miaka ishirini tokea 1998!!

Sasa kma wanaweza faidika kwa mikataba ya kipuuzi hivyo wanahitaji vita ili iweje? Hvi kwa mikataba ile ya ACACIA walihitaji walete waasi Tz? Ama kule mtwara walihitaji waasi wkt mikataba iliyokua drafted Rais mwenye anakiri tushaporwa gesi!! Ssa kulikua na haja ya kupeleka waasi kibiti?

Jmn kma kuna vita ni washindani wa hizo kampuni kutaka kuhujumiana ila sio walete waasi kwa ajili ya kupambana na TZ ni kujipa sifa tusizostahili
 
Mnasingizia tu mabeberu bure. Wewe huoni hapa tiss wana vumisha habari za uwongo kuhusu Rais wetu kupotezea tu saga na ishu ya mahindi kukataliwa Kenya.
 
Kwani DRC wamechimba bila vibali? Kwahyo Total na Exxon Mobil hawanaga vibali kwenye operations zao huko DRC? Nmekuelezea hapo Total ilikua inavuna 40% na Zim-Angola 40% huku DRC ikivuna 20% kwa gold huko Katanga mind you huo mkataba haukuwa maeneo ya waasi na ulikua wa miaka ishirini tokea 1998!!

Sasa kma wanaweza faidika kwa mikataba ya kipuuzi hivyo wanahitaji vita ili iweje? Hvi kwa mikataba ile ya ACACIA walihitaji walete waasi Tz? Ama kule mtwara walihitaji waasi wkt mikataba iliyokua drafted Rais mwenye anakiri tushaporwa gesi!! Ssa kulikua na haja ya kupeleka waasi kibiti?

Jmn kma kuna vita ni washindani wa hizo kampuni kutaka kuhujumiana ila sio walete waasi kwa ajili ya kupambana na TZ ni kujipa sifa tusizostahili

Tusaidie kufahamu chimbuko la hivyo vikundi vya waasi kuvamia maeneo yenye utajiri wa gesi, mafuta, almasi n.k.
 
Tusaidie kufahamu chimbuko la hivyo vikundi vya waasi kuvamia maeneo yenye utajiri wa gesi, mafuta, almasi n.k.
Nyie ndio mna focus kwenye madini tu ila Kumekuwepo na waasi kaskazini mwa Uganda miaka zaidi ya 30 sasa je kuna dhahabu? Vipi kule kasese kuna madini gani? Hapo tu Rwanda na Burundi kumekuwepo vikundi vya waasi kibao tokea 1972 je kuna madini gani? Darfur kuna mafuta yanachimbwa by 2004?

Nachofaham Africa kumekosekana amani sababu ya madaraka miaka yote ssa mnapo jifichia kwa kulaumu mabeberu nashindwa kuelewa.

Hapo msumbiji mabeberu wamepewa gesi wachimbe kwa mikataba halali kabisa ssa leo hii watumie magaidi wa kazi gani?

Ndio maana nikasema kma kuna vita ya kiuchumi basi ni beberu vs beberu yaani mfano kma Total kapewa eneo basi Exxon Mobil wamuhujumu ila sio eti Total alipe magaidi msumbiji ili achimbe mafuta ilihali mikataba tena ya kinyonyaji anapewa kiulaini tu akihonga.
 
Mkuu labda mie sielewi kwamba mabeberu wanapigana na mabeberu wenzao ama waafrika? Sababu nachojua huko tyr kuna kampuni za magharibi zinachimba rasilimali sasa kwanini tena watumie waasi wkt wameshamilikishwa madini?

Unajua hata DRC wanasemaga mabeberu yanaleta vita ili wapore madini lakini cha kushangaza hata maeneo walipoondoa waasi mfano then- Katanga province walipoondoa waasi bado wenye mkataba wa kuchimba walikuwa Total!! Same to Cabinda walitimua waasi ila bado wanaochimba off shore mafuta ni mabeberu!!

So mnaposema mabeberu wanaleta vita ili wachimbe almasi naomba mtusaidie je kukiwa na amani kma Tanzania ni nani anayechimba madini tena kwa mikataba ya kiwizi kabisa? Ama kukiwa na vita inawaongezea nni ambacho wanakikosa kukiwa na amani?

Cc Gerald .M Magembe
Hofu ya mabeberu ni siasa safi Africa, wao hufadhiri vikundi vya chokochoko nchi isitawalike serikali ikae ikiwaza vita, kuvamiwa wakati wowote, kununua siraha huku wao kwao wakiendelea kwa vyote bila hofu unless wamegeukana wenyewe kwa wenyewe ambayo ni ngumu na mbaya zaidi kupelekea vita kuu ya dunia.

Africa ikiendelea manaake hata hizo tender wanapata kwa sasa itakuwa ni kwa mbinde, mali zetu zitaongezewa dhamani hapa hapa na kuwaongezea mzigo wa gharama, in short, jamaa wanapenda sana vya kunyonga kuliko vya kuchinjwa kwa utaratibu.

Kwa kutumia kanuni ya devide and rule, wanaweza kuwarubuni wapinzani wakawa waasi, at the same time wanawarudia watawala na ahadi rukuki kama panya anavyong'ata na kupuliza.
 
Back
Top Bottom