MMU’s JF Special

Go out and screw up… Don’t try and be perfect

Kumbe hii ilikushika bi mdogo....... upo makini sana
 
Go out and screw up… Don't try and be perfect

Kumbe hii ilikushika bi mdogo....... upo makini sana

Una quote nyiiingi.. but hio defines you Gaga... asante dear..
 
Upatapo kinachokufurahisha furahi,ila unapogundua usichokifurahia wewe ni shujaa!Anwy thanx sister!
 
Taratibu usije ng'atwa wewe...lol

lol.. Asha.... Asha .......Asha.......Asha,
haya bana, sijui hata nisemaje mie,
wewe mkareeeeeeeeee....................

You always sound good.............
BTW:hebu rudi kule kwenye rangi za ndani utoe majibu, usikimbie ati...............
 
Bacha Bacha maneno yako mwenyewe yakufurahisha??? ha ha ha
Asante kwa the word Mkareeeeee...lol...

Kumbe umegundua nimekimbia... ha ha ha... ile topic ngum bana!!
 
Bacha Bacha maneno yako mwenyewe yakufurahisha??? ha ha ha
Asante kwa the word Mkareeeeee...lol...

Kumbe umegundua nimekimbia... ha ha ha... ile topic ngum bana!!

usikimbie bana, unaniangusha hivyo...................
I always count on your words..............
rudi bana.......................................
 
usikimbie bana, unaniangusha hivyo...................
I always count on your words..............
rudi bana.......................................

Pouwa uwe patient... tatizo ule uzi maneno mengi, na kuna kazi nafanya
hapa nikilazimisha kutoa pale sitajibu nitakavyo.. naahidi nakuja..
 
Dah! Mi hiyo yangu nilikuwa nishaisahau. Ashadii njo mpwapwa nimekuandalia mayai ya sungura.
 
Dah! Mi hiyo yangu nilikuwa nishaisahau. Ashadii njo mpwapwa nimekuandalia mayai ya sungura.

Unasahau allergy zako sio....lol
Na hivi nipo kijijini saizi mpaka nifike hakikisha hayajatotolewa...

Enjoy dear..
 
Usivue Gamba bana.... NIMEWEZAJA??? mmh let me see...

Am a person of many talent, I sleep five hours min six max (whether at JF or not)
Threads kwangu si tu kwa kujifurahisha na mzaha, nathamini michango ya kila mmoja..
Zimetoka tu katika Thread zangu tatu, sikutafuta Random...
I love JF especially MMU...

Mhhhhhh...Asha mbona unanitisha zaidi?

Hapo kwenye red...ukiombwa mlale zaidi hapo inakuwaje?
 
Yes it does sound good and only applies to a person who is full of life!!
Mkuu Ashadii this is realy special, twajadili kwembe mwenzetu una take note hahahahaa! Bt sijajiona mimi bhana or huwa nalonga pumba teh! Ukiongeza niongeze na mimi bhana, pia mkumbuke mzee mwanakijiji na ngoswe, wapo safi kwa quotes sana!
 
Pole Gagu
 
Mhhhhhh...Asha mbona unanitisha zaidi?

Hapo kwenye red...ukiombwa mlale zaidi hapo inakuwaje?

Akiwepo mbona mimi mwenyewe saa tatu tu nataka twende bedroom... akirudi you will notice the difference..
Nikilala mapema na hivi hayupo naboreka hivyo bora nile entertainments kama movies na net then sleep..
 
Mkuu Ashadii this is realy special, twajadili kwembe mwenzetu una take note hahahahaa! Bt sijajiona mimi bhana or huwa nalonga pumba teh! Ukiongeza niongeze na mimi bhana, pia mkumbuke mzee mwanakijiji na ngoswe, wapo safi kwa quotes sana!

Huongei pumba... mimi nawe twakutana saana but katika threads si zangu
sikutaka kuchakachua threads bila ruhusa za wahusika...lol
Katika uzi nilotoa hizo kuna post yako moja tu... na ningeweka hapa
ungetafut kitufe cha DISLIKE hapa sasa hivi...lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom