MMU’s JF Special | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MMU’s JF Special

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by AshaDii, Jun 17, 2011.

 1. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  MMU's JF Special

  Some JF member Quoutes I Love …(MMU)

  Katika threads mbali mbali hapa MMU watu hutoa Michango mbali mbali ambayo hufurahisha, elimisha, kosha, imarisha na saa ingine hata kukwazisha… But all in all most ya michango hubeba ujumbe mkubwa saaana ambao ingawa wakati mwingine huchukulia kama mzaha but ujumbe behind the mzaha hua muhimu.

  The following are some of the best quotes (kwa upande wangu) kutoka katika three of my threads… Take NOTE kua hazijapangwa kulingana na ubora wa hio quote.. hivyo ya mwisho yaweza kua bora kulika ya kwanza katika huu mpangilio..

  Hata hivyo most kuna quotes zao nyiiingi zimenifurahisha ila niliona its beta I withdraw to most ambao nilibahatika kupata michango yao…


  • Iwe kupenda kwanza au baadae.. Biashara kwanza
  – Kaizer

  • Kuna watu ukitofautiana kwa PM ni bifu kwa thread pia
  – Michelle

  • Nimekutana na watu wa maana saana hapa, ambapo naweza kusema kweli wamekua rafiki wa karibu mno
  – Bubu Ataka Kusema

  • Social Media imefanya mwananchi wa kawaida kua journalist
  - EMT

  • To the world you may be one person, to a person you may be the world
  – The Finest

  • Sometimes we suffer with the bitter state of coffee till the last sip only to find out sugar crystals lying at the botton
  – Daughter

  • Only God anajua ramani ya maisha yetu kabisa, anajua tulipotoka tulipo na mwisho wetu
  – Mestod

  • One thing I would like to know how do we know if one of us is dead
  - Manumbu

  • Kucheza mdako ama rede kwa mzee haimaanishi kabakili jinsia
  – CPU

  • i should probably change and tryanna get to know ‘em before saying ‘naaah he/she is too mature
  - Lizzy

  • Go out and screw up… Don't try and be perfect
  – Gaga


  • Africans we love other peoples wife most..
  -The Boss

  • Mapenzi Mchezo wa ajabu saana
  - Arsene Wenger

  • Live to love… love to live
  – Afrodenz

  • Mie nipo 26-32 kuna vijitu kavieleza vina ukweli na mimi
  - Chauro

  • Do not be awed by materialistic possessions, even the Rich cry
  - Rutashubanyuma

  • Mama na machungu anayo pitia uhakikisha ustawi wa mwanae
  – SMU

  • Kila kitu kinawezekana katika hii dunia kikubwa kubaliana na ukweli
  – Pearl

  • Kitu kinacho fanya kwa mama mkwe wangu ni kumtreat kama mamangu
  – Fixed Point

  • I will always be my self
  – Pauline

  • Happy mothers day to ma mom, all the girls(future moms) and all the moms in here
  – Samora10

  • I Love you Mom
  – Ndetichia

  • Mama nakupenda naona fahari kukupenda.
  –Mnyamahodzo

  • I am proud to be your Mother
  – Karen_Happuch

  • Natamani kusema mengii juu ya mama, ukweli usiopingika maneno hayatoshelezi
  – JourneGwalu

  • I am an over possessive person, I will not set him free, what if he does not come back!!
  – Nyumba kubwa

  • Love does not need a forulae it needs a personality to be strong
  – The dirty paka

  • Jinsi anavyo ishi mwinyi haji na mkewe sio lazima afanane na minyi Pemba na mkewe
  – Bacha

  • Nikimpata Mtu namuonesha mapenzi ya kweli ila sio kumzingira kama hashikiki
  – Belinda Jacob

  • Nina allergy na icecream..
  - Husninyo

  • Siku hizi sipendi kujipa pressure kama zamani
  – First Lady

  • If you love someone lock her in, if she leaves hunt her down
  – Uporoto1

  • Wanawake wa mjini shida tupu!!!! Hawaoleweki
  – Mentor

  • Watu wanafanya biashara ya kuwowana badala ya kuoana
  – Dark City

  • Mapenzi haya wacha yaitwe mapenzi tatizo hushibi
  – Fidel80

  • Ukipata mwanamke above 39 yrs upo safe saana
  – Positive Thinker

  • When it come to love advice every Dick, Tom and Jerry are love Gurus
  - Son of Alaska

  • @25 taa nyekundu huanza kumulika kuashiria umechelewa
  – Zion Daughter

  • Man!! I like women I just cant stop loving them
  – Eliphaz the Termite

  • Naomba nikiri toka nimeingia MMU roho yangu imekua baridi
  – Bishanga

  • Najutiaga kiac nilivyomsumbua mama, nilimsumbua vya kutosha jamani, alinicmamia kidete bila yeye cjui nyamayao angekuwa mtu wa namna gani, asante sana mama kwa kunipigania..
  - Nyamayao

  • Kweli kuna mambo mazuri saana humu jamvini
  – Ulimkafu

  • JF usipokua mjanja kazi lazima zilale
  – Maty

  • Nawaza wangapi humu wanatumia jina zaidi ya moja
  – Nyani Ngabu

  • Kauli za kikubwa vigumu kurespond
  – Freema Agyeman

  • Duh! Kweli umekua addicted (@AshaDii)
  - Konakali

  • Kuolewa mpaka usubiri limtu lije kukuposa mara linakutosa aaarrrgh
  – Dinnah

  • USIHARIBU THREAD
  – Dena Amsi

  • Binafsi nachukia saana Serkali inavyofanya na kutesa wananchi
  – Mtumishi wetu

  • Nilijiunga (JF) kupata mke lakini bahati mbaya mpaka leo sijampata
  – Steve Dii

  • Heshima na upendo vinachukua nafasi yake (JF)
  – Caroline Danzi

  • Naiombea JF idumu
  – Kbd

  • I like honest people
  – Black Berry

  • Freedom of expression, Knowledge and Skills provided.. need I say mo'
  – Okada

  • Sijui bila JF ningekua wapi
  – Nyange

  • Kama mtu alopita karibu na mzinga wa nyuki akapiga mwayo asali ikadondokea bahati mbaya
  – Gazeti

  • Hii JF Kiboko
  – Kanigini

  • Worry not I am not biting –
  Kimey

  • Simply hamna forum kama hii hapa TZ kwa magamba and magambaless
  - Camaraderie

  • JF haina mpinzani
  – Jojobingo/The Priest

  • I live life to the fullest at JF nikiwa mtaani haiwezekani mambo mengine ni kero kwa jamii
  – Marytina

  • Leo hii nikimshauri mtu simsaidii tu kwa mtaji bali bali namshauri na aina za biashara anazoweza kufanya kulingana na kiasi kilichopo
  – Cheusimangala


  • Hua napenda kutafakari signature za watu zenye upeo wa hali ya juu na fikra tofauti
  – Excellent

  • I am so proud you are my siter..
  – Eiyer

  • Mkuu.. kuna mindoto mibaya bora usiote
  – Elia

  • Kwa kweli naelimika saana hapa JF kupitia mawazo ya watu wengi
  - Sharohiphop

  • Baada ya kudadavua na kupembenua, si nikagundua utanibemendea wajukuu zangu? Kisa cha kuwa shugamami wakati babu mwenyewe nipo ni nini..
  - Asprin
  NOTE: Just in case kuna member anahisi hio quote sio yake please sema nikupe evidence….


  AshaDii anawatakia good Friday and a wonderful relaxing Weekend.... enjoy..
  :happy:

  Pamoja saana
  AshaDii


   
 2. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mpangilio wa majina umezingatia nini?
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  ha ha ha... Naomba unipe nafasi nifikiri... ila tu ilo la kwanza - inatakiwa abaki hapo hapo...lol
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Ashadii bana nilidhani nitanusurika kwako kumbe nimo dah haya bana

  Wewe ni mkali sana dah Big up mi lavu yuuuu sana
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Hujamtaja ndo maana
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Najua ni mtaalam saana wa short phrases... ningekosa hio kuna nyingine i wish ningekua nakumbuka..
  Me love you tooo..
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hayumo sababu hizo quotes ni uzi tatu tu, na yawezekana siku nikirusha hayupo...
  Hata hivyo swali nimependa.. naona inatakiwa niingizi katika list..
   
 8. LD

  LD JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ashadiiii, pitia kikombe cha chai hapa juu....
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  ha ha ha ... Asante LD.... kwa ukarimu wako huo umenifanya nifurahi na
  kufanya hio phrase kuongezeka katika list of my quotes.. enjoy niko njiani..
   
 10. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Asha,

  Haya mambo unayafanya saa ngapi?

  Hii speed yenu itatufanya wenzenu tujivue gamba...Kama tatizo ni kuwa tu watu wa 1947 basi tena. Hii dotcom naona tuwaachie wenyewe.

  Mie basi....

  Babu DC!
   
 11. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #11
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha nidai ice cream
   
 12. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ashadii,sijui nikuambie nini switiii?
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  ADI in da house ...
  Duhhhh mi hiyo signature
  nilisha isahau .. nakuaminia kwa kumbukumbu
  nzuri.

  ADI ROCKs...
  Keep it up ...
   
 14. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Noted with thanks.
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,982
  Likes Received: 23,684
  Trophy Points: 280
  Kudadadadadadeki wallahi!

  Yani Ashadii mi ndo umeshindwa kunifagilia? Kuanzia sasa ntakuwa namwaga mapointi tu ili nami unirushe hewani kama FM academia.
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Usivue Gamba bana.... NIMEWEZAJA??? mmh let me see...

  Am a person of many talent, I sleep five hours min six max (whether at JF or not)
  Threads kwangu si tu kwa kujifurahisha na mzaha, nathamini michango ya kila mmoja..
  Zimetoka tu katika Thread zangu tatu, sikutafuta Random...
  I love JF especially MMU...
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  I love ice cream lete Caramel flavor...lol.. Nitumie PM hapa wataomba na mimi mchoyo..
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Ongea lolote Chauro ADI kwa ajili yako hapa....lol
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Hio quote iko kwenye uzi wa Usitingishe kibiriti ovyo (if not mistaken)

  Thanks love...
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Asprini tatizo mimi nawewe tunakutania kwa watu, na sina copywrites naogopa BAN!
   
Loading...