"MMU Misses you Sooo Much"

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,190
18,076
Habari wana JF...

Ni wazi kua we have got lives beyond hapa JF.... Na ni wazi kua majukumu ni mengi katika jamii ambayo kwa kweli mara nyingi ndio first priorities katika maisha yetu kuliko hata hapa Jamvini... However inapotokea kua Members ambao ni wanafamilia wa hapa MMU wamepotea kitambo... Kuna baadhi ya members hasa sie wanafamilia wa MMU (Mfano mimi) hutokea kwamba Tumewa MISS.... Nyie watu (wanafamilia ya MMU) Popote kule mlipo msitegemee kukaa kwenu kimya basi na rohoni na akilini kwetu hampo!!! ACHENI kutesa mioyo yetu na agalau mtutembelee walau hata post moja tu kwa Week kuhakikisha kua kweli ni wazima wa Afya na kwamba Mwaendelea vizuri... Hivo basi naomba nitaje baadhi ya ambao nimewakumbuka kwa mda huu.... Wale ambao nimesahau kutaja naomba fellow members tukumbushane... Walau waelewe kua We REALLY MISS THEM..... (At lease I do...)

  1. Michelle
  2. Eiyer
  3. Gaga (I kno u ar fine but jamvini sijakuona mda)
  4. Stevie Dii
  5. Mestod
  6. Bacha
  7. CPU
  8. Lizzy
  9. Gagurito
  10. Manumbu
  11. Pearl
  12. Belinda Jacob
  13. Magulumalu
  14. Mentor
  15. First Lady
  16. Zion Daghter
  17. Maty (simuoni kabisa naona tu likes...lol)
  18. Dinnah
  19. Kbd
  20. Rev Masanilo
  21. Cheusi Mangala (thou she is back)
  22. Okada
  23. Elia
  24. Sharohiphop
  25. Aisha Adam
  26. Samora10
  27. Vikwazo
  28. The Dirty Paka
  29. Madabwada
  30. KonaKali
  31. Mayassa
  32. Kaka Mpendwa
  33. Fixed Point (thank God tumemuona)
  34. Kaka Mpendwa
  35. Memo
  36. Woman of Substance
  37. Mohammed Shossi
  38. Nnunu
  39. Maria Roza
  40. Nyamayao
  41. Suzy
  42. Mkwaruzo
  43. Yeshua Harmaleck
  44. Prodigy Son
  45. Young Corporate
  46. Journe Gwalu (wee jamaa upo but kwa manati mno)
  47. Carmel
  48. Smiles
  49. Pauline
  50. Wilbard (Unakuja unaishia nje... MMU needs u)
  51. Son of Alaska
  52. Senti 50
  53. Mynameisyourname

Naamini ni wengi na wengine nimewasahau... Ama siwafahamu tokana na Ukweli kua MMU haijaanza juzi... I repeat Members wengine tutasaidiana kukumbushana (kwa wataopenda)

(This Post has been written with Lots of Love.....)

Pamoja Saana

AshaDii.
 
Kuna mtu anaitwa Hashycool na Nilham hawa wawili wananikumbusha good old times

I so much heard of Hashycool... Bahati nzuri nimebahatika kumuona na jamaa yupo sasa thou anagusa gusa... Comments zake hunivunja mbavu... yaani hafai!! lol... Wakati naanza JF Nilham alikuwepo thou sio saaana... thus i feel like i know her pia - at least a bit.
 
Aseeee!!
Duh!!!
Bigi amezeeka sasa!! haina budi kupumzika.
Bigi amemwachia The finest..
Bigi anapumzika.
Bigi anakunywa biya na Fidel na Teamo,
Bigi Anamkaribisha RR kitimoto
Bigi hataki makabaila kaizer na Asprin
Bigi anawapenda sana akina King'asti na AshaDii
Lakini Bigi amepumzika, imempasa kufanya hivyo. utu uzima dawa!!
 
Hahaha!!!
 
Biggie nguvu yako bado kubwa hapa JF.... Kama
una consider kua umezeka saizi - I wonder wakati
wa ujanani ilikuwaje!! Basi ilikua HATARI!! LOL...
Hicho kiti sijui kama The Finest atakiweza... Maana naona
akimuona tu PAW anakwepa njia na kupita nyingine...lol
Huo ugomvi wa hao wanaume hapo juu naona nisiingilie..
KIKUBWA ni kwamba AshaDii na King'asti TUNAKUPENDA Pia...

Aseee!!!
Duh!!
 
nimeipenda hii! Msalimie RR na Teamo halafu upumzike kwa amani
 
Biggie nguvu yako bado kubwa hapa JF.... Kama
una consider kua umezeka saizi - I wonder wakati
wa ujanani ilikuwaje!! Basi ilikua HATARI!! LOL...
Hicho kiti sijui kama The Finest atakiweza... Maana naona
akimuona tu PAW anakwepa njia na kupita nyingine...lol
Huo ugomvi wa hao wanaume hapo juu naona nisiingilie..
KIKUBWA ni kwamba AshaDii na King'asti TUNAKUPENDA Pia...

Aseee!!!
Duh!!
Aisee kiti kinanifaa sana mikoba yote nimeishakabidhiwa hivi King'asti kaenda wapi au hii wikiendi kapata pedesheeee
 
Acha tu!!
Duh!!
 
Aisee kiti kinanifaa sana mikoba yote nimeishakabidhiwa hivi King'asti kaenda wapi au hii wikiendi kapata pedesheeee

Mtu wa ku qualify kiti cha Biggie... awe walau na vigezo vifuatavo...
  1. BAN sio chini ya 3..
  2. ID sio chini ya 3..
  3. Uwezo wa kumtia tumbo joto PAW..
  4. Special scent.. ukipita mahala... Members wanajua eeh kweli mrithi wa Biggie kapita
  5. Anapita kila Jukwaa...
Mie niki observe hapo waingia # 5 na atleast # 4 BUT the above 3....mmmmh!
 
Aseeee!!
Duh!!!
Bigi amezeeka sasa!! haina budi kupumzika.
Bigi amemwachia The finest..
Bigi anapumzika.
Bigi anakunywa biya na Fidel na Teamo,
Bigi Anamkaribisha RR kitimoto
Bigi hataki makabaila kaizer na Asprin
Bigi anawapenda sana akina King'asti na AshaDii
Lakini Bigi amepumzika, imempasa kufanya hivyo. utu uzima dawa!!

Nimependa hii
 
Similar Discussions

19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom