MMU & Chit Chat ni majukwaa ya watu wasio na akili

Sina cha kuongezea tena hapo,
Naenda Jamii Intelligence, ntapitia the Palace, halafu nitapitiliza Jukwaa la Wakubwa
TGIF
Siku nzima niumize kichwa kutafuta hela na mambo mengine ya maana,halafu mwisho wa siku nije kuoneshana kuwa nina akili na watu nisiowajua? Mwenye akili kutwa kushinda unabishania ulaji WA watu? Kushindana ku-quote vitabu vya watu au kusimuliana news za CNN,sky?
 
Lakini haitufanyi tuhalalishe na nyuzi za kijinga na kipumbavu humu, Hayo mambo yakushindana sijayasema mimi. kama wewe unakujaga kushindana na watu humu bora ubaki mmu na Chitchat
 
Ungekuwa na akili ungeanzisha JF halafu usingeweka chitchat au MMU. Ungeweka hayo majukwaa yenu yenye akili.
Btw napita majukwaa yote sijaona cha ajabu, akili zile zile tu.
 
Ungekuwa na akili ungeanzisha JF halafu usingenisikia chitchat au MMU. Ungeweka hayo majukwaa yenu yenye akili.
Btw napita majukwaa yote sijaona cha ajabu, akili zile zile tu.

Kwaiyo kama sijaanzisha JF Sina akili? Nashukia hapa hapa sifiki huko
 
Post ya 13,18 na 23 Nimeyasema hayo. Kuchelewa kwako kuelewa sio tatizo langu hata kidogo
Sio wewe ulioandika majukwaa haha ni ya watu wasio na akili? Ndio nakwambia mwenye akili angejua kila jukwaa lina maudhui yake na kila mtu ana malengo yake kuja jf. Kuona watu hawana akili kisa hawafanyi upendacho wewe ndio ukosefu WA akili.
 
Umesoma kwenye hizo pist nilijibu kitu gani waliouliza swali kama lako? Mbona unakubali kuwa mjinga kizembe Chalii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom