Siku nzima niumize kichwa kutafuta hela na mambo mengine ya maana,halafu mwisho wa siku nije kuoneshana kuwa nina akili na watu nisiowajua? Mwenye akili kutwa kushinda unabishania ulaji WA watu? Kushindana ku-quote vitabu vya watu au kusimuliana news za CNN,sky?Sina cha kuongezea tena hapo,
Naenda Jamii Intelligence, ntapitia the Palace, halafu nitapitiliza Jukwaa la Wakubwa
TGIF
Lakini haitufanyi tuhalalishe na nyuzi za kijinga na kipumbavu humu, Hayo mambo yakushindana sijayasema mimi. kama wewe unakujaga kushindana na watu humu bora ubaki mmu na ChitchatSiku nzima niumize kichwa kutafuta hela na mambo mengine ya maana,halafu mwisho wa siku nije kuoneshana kuwa nina akili na watu nisiowajua? Mwenye akili kutwa kushinda unabishania ulaji WA watu? Kushindana ku-quote vitabu vya watu au kusimuliana news za CNN,sky?
Ungekuwa na akili ungeanzisha JF halafu usingeweka chitchat au MMU. Ungeweka hayo majukwaa yenu yenye akili.Lakini haitufanyi tuhalalishe na nyuzi za kijinga na kipumbavu humu, Hayo mambo yakushindana sijayasema mimi. kama wewe unakujaga kushindana na watu humu bora ubaki mmu na Chitchat
Sina cha kuongezea tena hapo,
Naenda Jamii Intelligence, ntapitia the Palace, halafu nitapitiliza Jukwaa la Wakubwa
TGIF
unafurahia kugombewa na madada za watu ila mimi dadako unanipiga mkwara!
Ungekuwa na akili ungeanzisha JF halafu usingenisikia chitchat au MMU. Ungeweka hayo majukwaa yenu yenye akili.
Btw napita majukwaa yote sijaona cha ajabu, akili zile zile tu.
dah ubongo hautaki!Soma tena mara ya mwisho
Ungekuwa na akili ungejua kuwa maudhui ya chit chat na hayo majukwaa mengine ni tofauti. Vile vile kila mtu yupo jf kwa lengo lake.Kwaiyo kama sijaanzisha JF Sina akili? Nashukia hapa hapa sifiki huko
Sio wewe ulioandika majukwaa haha ni ya watu wasio na akili? Ndio nakwambia mwenye akili angejua kila jukwaa lina maudhui yake na kila mtu ana malengo yake kuja jf. Kuona watu hawana akili kisa hawafanyi upendacho wewe ndio ukosefu WA akili.Post ya 13,18 na 23 Nimeyasema hayo. Kuchelewa kwako kuelewa sio tatizo langu hata kidogo
kwanza sikupigi mikwaraunafurahia kugombewa na madada za watu ila mimi dadako unanipiga mkwara!
Sio wewe ulioandika majukwaa haha ni ya watu wasio na akili? Ndio nakwambia mwenye akili angejua kila jukwaa lina maudhui yake na kila mtu ana malengo yake kuja jf. Kuona watu hawana akili kisa hawafanyi upendacho wewe ndio ukosefu WA akili.
Mimi nakujibu ulichoandika,hao uliowajibu hainihusu, ujinga ni kitu cha kawaida.Umesoma kwenye hizo pist nilijibu kitu gani waliouliza swali kama lako? Mbona unakubali kuwa mjinga kizembe Chalii
Kuwa mpole basi bwasheekwanza sikupigi mikwara
pili neno kugombaniwa na dada yangu havikai kwenye sentesi moja