MMU & Chit Chat ni majukwaa ya watu wasio na akili

hapa ni chitchat mkuu.... MMU ni mtaa wa pili

ila kumbuka maisha ni uchaguzi na kila mtu ana lengo lake la kuwa hapa JF siyo kila mtu ni mpenzi wa kelele za siasa au simulizi za kijasusi

kwahyo umekosea sana kutukashifu watu wa hili jukwaa...

Kweli malengo ya haya majukwaa yalikua ni mazuri tuu MMU na hata Chitchat lakini sa hivi ndo majukwaa yenye ujinga sana,takataka nyingi mnoo, sana dume zima linakuja na id ya kike kutafuta Mchumba et! Kweli mwanzoni palikua ni pumziko la wanaotoka siasani kule na JF Palace lakini sa hivi pamekua hovyo sana ndo maana wakongwe wengi wamekuja na ID Mpya iwe muende sambamba humu
 
Sasa wote tukienda huko siasani, au wapi wapi huko sijui. Kina nani watabebishana huku, Kama mimi siasa siziwezi, sina cha kuchangia huko inteligensi wala nini, ila huku mapenzini mapenzi nayamudu vizri tu sa nikatafute nini huko? nipeleke likes tu auu TUVUMILIANE TU
 
Kweli "dhambi ya ubaguzi kama nyama ya mtu, ukiionja tu huwezi acha" in someone's voice.

Kutoka kuwaona watu wa fb, instagram nk nk nk kama watu wenye IQ ndogo na hawatoshi kwenye level ya GT(ingawa si wote) mpaka kuanza kubaguana based on majukwaa ya humu humu JF, Duh!
 
Wala sio kubaguana ila akili FB ndo Wameamua kuzihamishia majukwaa hayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom