MMU & Chit Chat ni majukwaa ya watu wasio na akili

MMU na chit chat ni majukwaa ya watu wasio na stress
tupo kwa ajili ya kuenjoy sio kubishana na mifisi ya kijani
mtu anaona hali ngumu ila anabishana

nasave energy naingia chit chat
nakutana na Thad espy na valentine wananigombania

Ila sa hivi imekua ni three much sasa takataka zote zipo huko kuliko hata jukwaa la jokes yani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom