Mmoja wa Viongozi wa Coastal Union FC: Tayari 'tumeshaiuza' Mechi kwa Yanga SC na hii 'Mikwara' tunayowapiga 'tunazuga' tu

Samahani Mods tunaweza kupata usahihi wa akili za huyu mtoa mada kama ziko sawa kweli??
Nashauri kuwe na option za kupima akili kwa wanaJF kabla ya kujiunga ili kupunguza vichaa kama hawa.
Bingwa wa kupigwa BAN huyo,huenda Kuna jambo huwa limekaa tenge
 
"GENTAMYCINE nisikudanganye Rafiki yangu na Nisamehe kwa huu Ukweli ila Mechi yetu na Yanga SC tunayocheza Kesho hapa Mkwakwani Stadium Tanga tumeshaiuza kwa Tsh Milioni 40 na Kesho Coastal Union FC tutafungwa Magoli mengi na upo Uwezekano hata baadhi ya Wachezaji wetu wakapata Kadi Nyekundu ili kutudhoofisha zaidi"

Baada ya GENTAMYCINE kupewa Taarifa hii na huyu Kiongozi Mwandamizi wa Coastal Union FC nikaenda katika Ukurasa wa Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara ambapo kwa alichokiandika nikakiunganisha na niliyoambiwa na huyo Kiongozi wa Coastal Union FC nikajiridhisha kuwa tayari Biashara kati ya Yanga GSM Sports Club na Coastal Union Wapuuzi Wanafiki FC imeshafanyika.

Kauli yenyewe ya Haji Manara niliyoitoa katika Mtandao wa yangascdaily ni hii hapa chini....

Kesho tunaenda kufanya mwendelezo wetu wa kutoa kichapo kwa kila atakaye kuja mbele yetu kutaka kutuzuia safari yetu ya kuchukua ubingwa wa Ligikuu.

Kwa jinsi kikosi kilivyojipanga natumaini kesho tutakuwa na Magori mengi pia tutachukua alama zetu tatu mapema na hakuna wakupinga hilo
.

........................................................................

Hawa Watu Wawili ambao ni Viongozi wa Coastal Union FC ya Tanga Mzee Steven Mguto ( mwana Yanga SC lia lia ) na Kocha Juma Mgunda ( sasa Mkurugenzi wa Ufundi wa Klabu hii ) ambaye ni ( mwana Simba SC kindakindaki ) GENTAMYCINE nawalia 'timing' na leo nawapeni ONYO KALI ole Wenu Kesho mfungwe na Yanga SC naenda Kuwaanika na Kuyaanika yote mliyoyafanya Jana Usiku na leo Saa 2 Asubuhi mkiwa na baadhi ya Viongozi na Matajiri wa Yanga SC ( hasa GSM ) hapo Tanga.

TAKUKURU nchini inakuwaje Mimi Raia tu wa Kawaida tena Mnyonge na Masikini GENTAMYCINE najua Vitendo hivi vya 'Match Fixing' vinafanyika Michezoni na kufanywa zaidi na Yanga SC kupitia Matajiri wao hawa akina 'Samjo Samjo' GSM?

Ole wenu Coastal Union FC mfungwe!!!
Msizani coastal Leo walikaza angalia ball possession isipokuwa kufungwa ni kufungwa tuu
 
😂😂😂
Na Simba je, wameingia kingi kununuliwa na YANGA kwa bei gani?!!!
 
Back
Top Bottom