Mmoja wa fisadi wa halmashauri ya bagamoyo ajisifu kwa ufisadi alioufanya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mmoja wa fisadi wa halmashauri ya bagamoyo ajisifu kwa ufisadi alioufanya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kurunzi, Aug 11, 2011.

 1. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Katika hali ya kushangaza kabisa nikiwa natoka bagamoyo kuelekea kwenye majukumu yangu asubuhi ya leo nilibahatika kupanda coster (ambayo pia ni ya huyu jamaa) na mmoja wa watuhumi wa wizi wa fedha halmashauri ya bagamoyo kwa jina Mr Mwinyi, mara mazungumza yaka zuka yalianzishwa na mzee fulani wa makamo hivi akilalamika juu ya hali ngumu ya maisha pindi hiki cha JK na kuonyesha kumkumbuka sana Enzi za mzee Ben ndipo fisadi mwinyi akaingilia kati na kuanza kumponda yule mzee kwa kejeli kuwa alitaka jk ajeakupe chakula na kukusomeshea wanao! Mzee kusikia maneno hayo aliamua kumpa live fisadi mwinyi kwa kumpa cheupe kuwe ww nifisadi na umeibia sana halmashauri ya bagamoyo ambazo ni kodi zetu ndiyo maana unaongea jeuri yako hii alimwambia ingekuwa enzi za Ben ungechapwa viboko sio jamaa yenu anakalia kuchekacheka tu, naye mwinyi kusikia hayo alianza kujisifu kuwa kesi atashinda kwani serikali haina ushahidi na haitamfanya lolote, mzee yule na wengine tulio kuwepo kwenye gari tulibaki kushangaa ingawa binafsi nilikereka sana na kauli za huyu jamaa.
   
 2. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mngetumia formulla ya Chadema.PEOPLES POWER
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Anajulikana huyo mbona wala usipate shida nae alivyoona mambo hayaendi akakimbilia kuoa ndugu wa jk w akuunga unga ilimradi tu amwite shemeji huyo mpuuzi sana ana misifa ya kitoto sana anabishana hata na waendesha boda boda utafikiri size yake anashinda kijiweni kujisifia na kutoa siri walivyokuwa wanaiba.........ni mpuuzi hana jipya!!!anashinda kwa wachawi hilo ndilo kosa la jk amezungukwa na ndg jamaa walioiba na hawezi kuwafanya lolote!!hata yule aliekuwa DT nae ana channel na kombani akiwa tamisemi alikuwa anapisha deal zake bagamoyo!!
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  2015 kiburi kitamwisha tutakapo ajiri uongozi mpya ambao hauna kubebana na mali ya uma waloiba ikihitajika kurudishwa
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Tanzania Nchi ya wezi sasa. Utajiri wote unaoonekana barabarani majumba ya kifahari, magari yote ni wizi mtupu. jamani Tufanye Mapinduzi ili kuleta tatuzi wa haya
   
 6. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Mh kumbe unamjua mpuuzi sana huyu jamaa nilikuwa namsikia tu niyakumbuka maneno ya meya masaburi "kufikiri kwa makalio"
   
Loading...