Mmoja lazima atashinda hii vita, hali halisi ni kama uiovyo hapa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1598170173727.png
 
Chura ataishiwa na pumzi kwasababu pua na mdomo wake tayari uko ndani ya kinywa cha Korongo

Korongo pamoja na hiyo kabari ya Chura pua zake ziko wazi
 
Chura hua anazama kwenye maji kwa muda mrefu pia. Haiwezi msaidia?

Huyo bata tayari jicho limelegea
Lakini si anauwezo wa kutumia oksijeni iliyo kwenye maji, ngozi yake inauwezo huo. Je, inaweza pia kujichotea oksijeni hewani? Kama ndio, korongo kwisha habari yake.
 
Back
Top Bottom