Mmoja Afariki na wawili wajeruhiwa kwa umeme

Mtagwa lindi

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
311
96
Mtu mmoja Victor Guntram Mbangayao amefariki dunia baada ya kugusa nyaya za umeme zilizokuwa zimeanguka kijiji cha Narukoo chukuti wilayani Ulanga na wengine wawili kujeruhiwa picha zitafuata
 
Masikini Baba wa Watu, Poleni sana Ndugu, Marafiki kwa kifo cha ghafla cha Baba huyu. R.I.P
 
R.I.P victor!huenda pia hapo kijijini hakuna mwenye kutumia huo umeme kutokana na cost kubwa za uunganishwaji na tanesco
 
Ina maana TAANI-SIKO hawakuwa wametoa tahadhari hadi mzee wa watu ashindwe kumaliza mwaka kirahisi namna hiyo?. Hii immunity ya TAANI-SIKO inabidi ifutwe ili nao wakileta madhara walipe fidia kama watu wengine.
 
Back
Top Bottom