Mmoja afariki dunia akijaribu kuongeza ukubwa wa nyeti zake

Kama na wewe una tango ndo kabisaaa naahirisha ule mpango wangu wa kukufukuzia ujue:ballchain:

kibamia kinafaa kwa samaki, nyama, tembele hata dagaa. Tango zaidi ya kachumbari hamna kitu.
Acha kuwaongopea wenziyo wewe mwenyewe unapenda Tango!:A S embarassed:
 
Kila mtu na utashi wake. Pumping in and out haimaanishi sex. Nani anataka kutembea akichechemea kwanza, aaaaghhhh
Sina hakika kama unachokisema ndicho unachokimaanisha. Wakina dada wa leo mna mambo sana, mara "ooh mb kubwa ndio mpango mzima", mara "ooh kibamia kinaleta shombo tu." Sasa kwa maneno hayo unafikiri mumeo atakuwa na amani ndani ya nyumba kama "faragha" yake ina utata?
 
Back
Top Bottom