Mmoja afariki dunia akijaribu kuongeza ukubwa wa nyeti zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mmoja afariki dunia akijaribu kuongeza ukubwa wa nyeti zake

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Oct 6, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  MMOJA AFARIKI DUNIA AKIJARIBU KUONGEZA UKUBWA WA NYETI ZAKE
  [​IMG]
  DUNIA haikaukiwi matukio ya kustaajabisha, kwa hakika huu ni ulimwengu maridhawa na hawakukosea walionena kwamba dunia hadaa ulimwengu shujaa.


  Stori ya kusikitisha, inatokea nchini Marekani ambako kijana Justin Street, amepoteza maisha akiwa kwenye jaribio la kuongeza ukubwa wa nyeti yake.


  Habari kamili ipo hivi; Justin, 22, akiwa baba wa watoto wawili alikwenda kwa mwanamama Kasia Rivera ,35, aliyejitangaza kuwa ni mtaalamu wa tiba za kuongeza ukubwa wa nyeti za kiume.


  Kasia aliweka matangazo barabarani kuwa anayo tiba ya kuongeza ukubwa wa nyeti za kiume, hivyo kumfanya Justin ahamasike kwenda kupata dawa hiyo ili kujiongezea ushababi.


  Wanasema tamaa mbele mauti nyuma, ndivyo ilivyotokea kwa Justin, kwani baada ya kuomba dawa ya kuongeza ukubwa wa maumbile yake ya kiume, alidungwa sindano yenye madini ya silikoni.


  Madini hayo, alidungwa kwenye nyeti yenyewe na baada ya muda mfupi, hali ya afya yake ilibadilika kuwa mbaya, alizorota na siku iliyofuata alifariki dunia.


  Kutokana na tatizo hilo, Kasia alifikishwa mahakamani kwa kesi ya mauaji akituhumiwa kufungua zahanati bubu ndani ya nyumba yake iliyopo New Jersey, vilevile kutoa tiba za kiafya wakati hana taaluma hiyo wala leseni ya kuendesha kazi hiyo ya utoaji huduma za afya.


  Kasia alipandishwa kizimbani wiki iliyopita, uchunguzi wa maiti umethibitisha kwamba Justin alifikwa na mauti baada ya madini ya silikoni aliyodungwa kwa sindano kuziba njia za mishipa ya damu.


  Mmoja wa madaktari waliomfanyia uchunguzi Justin alisema kuwa hii ni mara ya kwanza kusikia silikoni inayotumika kuongeza ukubwa wa matiti ya wanawake imetumika kwenye kuongeza ukubwa wa uume.Kasia, amekana kuhusika na mauaji hayo.
   

  Attached Files:

 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kweli tamaa mbele mauti nyuma
   
 3. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kweli ujinga ni mzigo. Alichokupa aliyekuumba ridhika nacho vingenevyo utadhurika nacho.
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Iddiotilicious.
  Sasa kijana mzuuri, anataka zigo la nini? Rest in peaces
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Si nyie mnataka mizigo mikubwa?
   
 6. awp

  awp JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jamani kwani aliambiwa kibamia chake hakifai?
   
 7. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ninyi akina dada wa kileo ndio tatizo. Vijana wakiume wanafuata mkondo tu
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Uenda aliambiwa hvyo,kwani mpenzi wake angekua anamsifia kama anamtosheleza(hata kama sio) unafikiri angeenda kuongeza dushelele?
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Kufuga ujinga tu, na ukimwi huu nani anataka shurba. Kibamia is the best bwana, utamu wa pipi mate yako.
   
 10. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Sina hakika kama unachokisema ndicho unachokimaanisha. Wakina dada wa leo mna mambo sana, mara "ooh mb kubwa ndio mpango mzima", mara "ooh kibamia kinaleta shombo tu." Sasa kwa maneno hayo unafikiri mumeo atakuwa na amani ndani ya nyumba kama "faragha" yake ina utata?
   
 11. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,381
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Kibamia!Twih twih twih!sizani hata kina gusa haragwe!!!
   
 12. moto2012

  moto2012 JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 2,171
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Wamekuwa sugu, wanaanza mapema at the age of 9, kufika miaka 15 amepitia saizi zote, akifika miaka 20, hapo humwambii kitu! R.I.P Jusstin
   
 13. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mungu alipoumba aliweka kila size na kila saizi inamtosha mwanamke yeyote yule,tatizo hapa ni ulimbukeni wa kudhani ukiwa na size kubwa ndio utaweza kumridhisha mwanamke.

  Nenda salama kaka na ukifika huko utamjibu Mungu ulichokuwa unatafuta hata baada ya kupewa.

  Wanaume turidhike na tulivyonavyo.
   
 14. Lateni

  Lateni JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 685
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Sio akina Dada tu wa kileo, hata akina kaka wa kileo nao wanafanya wakina dada kuhangaika na hata kupoteza maisha, wakati wakiongeza makalio, hips, matiti, kujichubua nk, unadhani kama wanaume wa kileo wasingekuwepo hawa wadada wangehangaika kiasi hiki?
   
 15. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Acha kuwaongopea wenziyo wewe mwenyewe unapenda Tango!:A S embarassed:
   
 16. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  aliambiwa kibamia chako kidogo nikikohoa tu kinachomoka...na yeye akaamua kwenda kufanya ukarabati badala ya kutafuta aliye na kitundu kidogo... kama....
   
 17. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi sisikitiki kwa kuwa kafa, nasikitika kwa kuwa lengo lake halikutimia. Tamia alisema atamuongezea kitu yake ukubwa lkn hakusema kama anachukua dhamana ya maisha yake. Kwa kweli kama angeongezeka halafu akafa, Tamia hakuwa na kosa, ila kwa sasa ashitakiwe kwa utapeli
   
 18. Elijah

  Elijah JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,671
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  kwake huyo mapenzi ni kukomoana,hilo liukuni alitaka la nini???eh,kinapita kichwa cha mtoto sembuse ukuni????
   
 19. bologna

  bologna JF-Expert Member

  #19
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 1,161
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  Ale dushelele dushe dushe dusheleleee x2. Nilimwambia asile ye alikula, akavimba akaja, mtoto mzuriii wa OBAMA.
   
 20. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Dada haujambo? Dushelele ndio nini tena?
   
Loading...