Mmoja adaiwa kuuawa na wengine kujeruhiwa na polisi katika vurugu huko Tegeta, Rufiji

[FONT=comic sans &lt]Kuna kitu kinaitwa "proportional" ,
Je nguvu waliotumia askari inalingana na nguvu ya madereva hao???....
[/FONT]
Ni kweli mkuu kabla ya kutumia excessive force kuna vitu vitatu vya kuangalia,1.Propotionality,2.Legality, na 3. Necessity. mi nakubaliana na wewe kabisa, hiyo ikichunguzwa marehemu atapata haki yake lakini tayari uhai kapoteza! Nachosema, hayo yalomkuta huyo kijana hapo ni Colleteral damage,ya watu waloanzisha vurugu hizo ambazo zimecost maisha ya mtu! My take,kwa nini watu tusijenge utamaduni wa kuheshimu dola?
 
This country is messed up meeeeeeiiiinnnn!! Nimewachoka ccm na vipolisi uchwara vyao, nawatema puuuuuu!
 
Sikio la kufa....Hawa jamaa kama vile robot,Huyu mwenzao aliyemuua Mare.Mwangosi atakuwa anapokea Nusu mshaara,familia yake iko kwenye Songombide,bt they cant get a lesson.Kama ni kweli ameuwawa,believe me o not hata Libya walianza hivi hivi.
 
Kweli mkuu,ila siku hizi kuna wrong perception kwa polisi! kila wafanyalo watu wanata kupima nguvu na uwezo wao! kweli kutumia risasi za moto ktk jambo kama hili ni ni Use of excessive force,sikatai! hatua zinaweza kuchukuliwa lakini ameshaathirika? kwa nini tusicomply na law and order? and then kama kuna complaints ni badae?

Pamoja na yote .... bado hawataki kujifunza... kosa la jana wanalirudia leo ... inasemekana wanaweka pamba sikioni...... inafikia wanaambiwa (kama wanasingiziwa mimi sijui)...... kwamba wanabambikia watu kesi... mara wanaambiwa hata zile statements za kukamata silaha za majambazi huwa hawataji namba za silaha walizo kamata hii inapelekea ... baada ya siku mbili wanatoa statement nyingine ya kukamata silaha ... kumbe ni ile ile waliyoitaja majuzi...... ni maneno ambayo yanasemwa ..........
 
Ni kweli mkuu kabla ya kutumia excessive force kuna vitu vitatu vya kuangalia,1.Propotionality,2.Legality, na 3. Necessity. mi nakubaliana na wewe kabisa, hiyo ikichunguzwa marehemu atapata haki yake lakini tayari uhai kapoteza! Nachosema, hayo yalomkuta huyo kijana hapo ni Colleteral damage,ya watu waloanzisha vurugu hizo ambazo zimecost maisha ya mtu! My take,kwa nini watu tusijenge utamaduni wa kuheshimu dola?
mkuu kwa nini dola isijijengee tabia ya kuheshimu raiya na haki za binadamu??
 
Kweli mkuu! lakini wanajua kama polisi wana mamlaka kisheria?

Hata kama wana mamlaka kisheria,swali je mazingira ya tukio yalikuwa na ulazima wa kufyatua risasi za moto au kuua raia?Tuwe wazi tusitetee unyama/uhalifu unaofanywa na police.
 
Mkuu umesema kweli tupu!

Polisi akiuawawa anatambulika kijeshi ya kwamba amefia kazini, amefia kiapo na anazikwa kwa heshima za kijeshi. Je raia asiye na silaha akiuawa kwa 'makusudi na polisi mwenye silaha ya moto tusherekee?

Ndio maana nasema Kenya ni miongoni mwa mataifa yenye Katiba bora Afrika, Katiba inayokataza adhabu yeyote ile na kwa sababu yeyote ile kutoka kwa Jeshi la Polisi.
 
Mimi nilikaa kifungoni kwa miezi mitatu kosa langu nilisema Jakaya Kikwete Amiri jeshi mkuu ni jini linanyonya damu za watanzania,kila siku iendayo kwa mungu polisi wanaua mtanzania mmoja ambaye hana hatia kabisa,wakati mwingine hahusiki kabisa na vurugu yeyote just very innocent people wanachinjwa na polisi ,majambazi yaliyokubuhu yanafilisi nchi hii yanatamba mjini puu ,yeye anamwangalia tu IGP Mwema kwa vile shemeji yake sijua chagonja sijui kamhanda kee huyu mbaba vipi uraisi aliomba mwenyewe atulinde sasa aache ujinga
 
Niko hapa posta wamepita polisi kama 20 na wate wana silaha nikajua labda kule mpakani na malawi kimenuka kumbe ni ujinga wa jeshi letu la polisi..
 
Nchi ina amani lakini watu wake hawana amani ya kipato, manyanyaso ya polisi na ugumu wa maisha. Polisi vichwa vyao vibovu sana na utafikiri wao wanakaa kisiwani sio mtaani na hao hao wananchi wanao waua.
 
Watatangaza amepigwa na kitu chenye ncha kali ambacho hawajui kimetokea upande upi, tusubiri tutasikia tu.
 
hivi unadhani hawa vijana na wazee wa ccp wanajua lolote juu ya hiyo red??? Ili kujua hiyo kitu inabidi mtu afikiri na hawa wenzetu kufikiri kabla ya kutenda kwao ni la mwisho kabisa

Napata wasiwasi na mitahala inayotumika kuwafunza Polisi pamoja na utaratibu mzima wa upatikanaji wa Polisi hapa Tanzania.
Kuna habari za kusikitisha ya kwamba makuruta 200 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania wamondolewa CCP baada ya kupokelewa na kukaa kwa siku kadhaa; wameondolewa kwa kuwa imegundulika hawakuomba kujiunga na Jeshi la Polisi
 
Ama kweli kwa mtindo huu hatutafika! Habari hii imenifikia nami kwa muda ule nilikuwa nimesha log off na nimepokea kwa masikitiko makubwa kwani habari zinasema ya kwamba hawa maaskari walikuwa wanaondosha magari yalipaki vibaya na hata vijana katika sehemu sisizotakiwa wawemo kwa pale Tegeta kwa Ndefu. Habari inasema kupitia mashuhuda ya kwamba Amani ilitoweka pale mtaa wa stendi ya Tegeta kwa Ndefu kati ya raia na polisisiem na hata hivyo kijana aliyeuawa hana hatia kwani alikuwa kwenye duka la magodoro. Hao ndio Polisi waliokabidhiwa mamlaka ya kulinda raia na mali zao! Kazi kwenu serikali tawala na kabinet yenu yote!
 
Back
Top Bottom