zenji kivipi?
smile ...namaanisha visiwani wanaodai talaka 3 lol...anaona ya nini afie ndani?
ndoa kumbe sio nzuri kwa wanaume eeh?duuu hiii kali nimecheka mpaka basi .....
Haya mambo huwa yanatokea sana smile, ila si kwa kila ndoa. Tupo wenye ndoa zetu ambao tunakula bata tu kila siku, hakuna kukonda wala kujuta, ni kuenjoy maisha!
petcash...wait a minute...kwani huyo anayekimbia ni jogoo au mtetea?Unamaanisha mwanaume anamfuata mkewe anamwambia; 'mke wangu naomba nikupe talaka3'?
nimekukosea ninin@fazaaHivi we smile ulipo kuwa mtoto uliwahi kuangukia kichwa ukatoka ngewe hivi afu wakakushona...mana unakasoro flani kwenye kichwa chako.
Ingekua mtu kila anapozini anatoka kitundu wengine mngekua kama neti humu
Hivi we smile ulipo kuwa mtoto uliwahi kuangukia kichwa ukatoka ngewe hivi afu wakakushona...mana unakasoro flani kwenye kichwa chako.