Mmmmh jamani anamatatizo huyu

MagicM

Member
Sep 19, 2011
80
7
Ni mshkaji m1 hv soon aftr kfmaniwa dem kamkacha mazma na kmwambia "kwanza ulikuwa hnridhshi" so mshkaj yko dlema je kaachwa kisa fmaniz au kisa hamlidhsh demu wake anadai alitereza.........namuonea hrma coz hajui aend wap coz na alikofmaniwa katemwa
 
unajua hadithi ya fisi aliyealikwa harusi mbili na akaishia kushinda njaa? ilikuwa hivi baada ya kupokea mialiko akaenda kwenye harusi ya kwanza akakuta ndo wanachambua mchele akasema 'hapa bado ngoja niwahi ya pili,nikishakula huko nitawahi pia kula hapa',kufika huko akakuta wanawasha mkaa,akajisemea 'mpaka uje kuwaka nitakuwa nimerudi'akarudi kwa ya kwanza akakuta ndo wanabandika mkaa juu ya sinia,akajisemea 'ah mpaka waje kupakua nitakuwa nimemaliza kula harusi ya pili.Kwenda huko akakuta lahaula ndo wanamalizia kula,akakurupuka mbio kurudi kwenye harusi ya kwanza,huko ndo kabisaaaa alikuta wapishi wanapakia vyombo kwenye gari!
Moral of the story: mshika mawili sio moja ila yote yaweza mponyoka!
 
Wabongo bana, huongea kwenye simu huku wameweka kidole gumba pakukatia, hata kuandika neno zima mnaogopa mb zitaisha haraka.
 
Back
Top Bottom