Ushauri: Mama mdogo anamsema vibaya mchumba wangu kumbe anajihusisha naye kimapenzi!

kumbe bado hujaguswa? kwetu tigo inasumbua huna mtandao wa Airtel au zantel uweke hapa nikupigie usiku
 
kuhusu wa mkataba niliahirisha kutokana na maushauri yenu. A'm in a very real trouble I need help. Niwape hongera wale waliokutana na mpenz mmoja na huyo huyo makemisty yao yakaendana. Hawajui adha 2nazopata sie wengine. Full kizunguzungu.

wewe unasema hujasex nao watakaaje na wewe? ndio maana huyo kaenda kwa mama mdogo coz anampa vitu we unabana!
 
Wandugu naomba msaada. Mimi nina mchumba wangu 2ko ktk process za harusi. alishanitambulisha kwao na nikakubalika. Mimi ninaishi na mamdogo. Mamdogo ndiye aliyenilea so nikama mamangu. SO Nilimpeleka Mchumba wangu kwanza kwa mamdogo kumtambulisha kabila ya ha2a nyingine na mamdogo ndiye aliyewaambia ndugu zangu wengine. na akasema kuwa atagharamia kichen party na send off kwa kuwa mimi nikama mtoto wake. ndugu zangu karibu wote wanamjua huyo kijana.sasa cha ajabu mamdogo ameanza kunikatisha tamaa. ananiambia mbona huyo mwenzako anaoneka haja2lia? Nimzuri 2 wasura hana kingine hakufai mwanangu. Tafuta mwingine mbona wanaume wako wengi? na maneno mengine mengine kibao. Mimi nikamjibu nampenda hivyo hivyo alivyo mamdogo.baada ya kuona sielekei kumwacha akaanza kumwaga upupu kwa ndugu zangu wote kwamba yule kaka hanifai. Ndugu zangu wakaanza kumchukia huyu kijana. Cha kushangaza naona mamdogo yuko karibu sana na mchumba wangu nikimuuliza anasema wanashughulikia mambo ya ndoa ye2. Siku moja mawifi zangu (ukweni) wakaniita na kuniuliza hivi huyo ni mamdogo wako kabisa? Nikawajibu ndio. yeye na mamangu ni wa2mbo moja walishangaa na kusema mbona sasa anafanya mambo ya ajabu vile? Nikawauliza mambo gani hayo wakasema nisubiri niolewe kwanza ndo wataniambia coz wanaogopa kuuvunja uhusiano we2. (mimi na kaka yao) katika chunguza yangu nimegundua mamdogo ananichukulia mchumba wangu. Nimuachie mchumba wangu au Nifanyeje??
Kuja tufunge namimi bana! PM tu nitakupata
 
hapo kweli kuna kuomba ushauri wakati na wewe unaona kabisa uchafu wa huyo mchumba feki na mamayako mdogo....achana naye huyo hakufai kabisa kama kaweza kutembea na mama yako mdogo hao wengine si ndiyo atawazoa kama gari la taka???!!! mwambie MUNGU ASANTE KWA KUKUEPUSHA NA NDOA YA TAABU....UNGEOLEWA NA HUYO JAMAA ANGEKUSUMBUA SANA...TULIA UWESIWE NA HARAKA UTAPATA MUME ATAKAYEKUFAA NA UKAJA KUFURAHIA MAISHA YA NDOA......HAKUNA RAHA NZURI KAMA YA KWENYE NDOA HASA UKIPATA BAHATI YA KUPATA MKE AU MUME AYEAMUA KUILINDA,KUITHAMINI,KUIPENDA,KUITUNZA NDOA YAKE....TULIA MDOGO WANGU MUMEO YUPO ANAANDALIWA NA MUNGU UTAMPATA TU...ILA POLE KWA SABABU NAAMINI UMEUMIA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE POLE SANA.
 
easy, easy! Easy guys

Sasa imagine huyo N4G ni mkeo wa raha na shida tayari mmeshafunga makufuli ya milele. Halafu asubuhi anakueleza hili mchana lingine na jioni lingine. Kwenye kiibodi tu hapa mnakereka, huyo mumewe?
 
Hivi ni wewe au nimesahau kuwa wiki iliyopita ulikuwa hapa unatafuta mpenzi wa muda( wa mkataba)? leo huyu unaye miaka miwili?

ulikuwa unatafuta mwingine wa nini?

hahhahah wananchi mna kumbukumbuu...labda story ya kutunga jamani.mshauri tu Michelle
 
easy, easy! Easy guys

Sasa imagine huyo N4G ni mkeo wa raha na shida tayari mmeshafunga makufuli ya milele. Halafu asubuhi anakueleza hili mchana lingine na jioni lingine. Kwenye kiibodi tu hapa mnakereka, huyo mumewe?

Sipati picha inakuwaje
 
huu sasa umekuau ukumbi wa stori za kutunga. Nami nna yangu. Jana nimeota nimelala na mlinzi mmoja wa gadafi, alikuja kujificha tz baada ya kukimbia libya. Je nimwambie waifu, au ataona wivu? Nishaurini
 
Huyo mchumba hakufai kwa kuwa si mwaminifu yaani mpaka kaamua kujivinjari na mama yako mdogo !!!. Na huyo mama yako mdogo sijui kampa nini huyo jamaa mpaka anakusaliti. Au pengine kampa kale kamtandao kanakotoza nusu shilingi baada ya dakika ya kwanza ?
 
huu sasa umekuau ukumbi wa stori za kutunga. Nami nna yangu. Jana nimeota nimelala na mlinzi mmoja wa gadafi, alikuja kujificha tz baada ya kukimbia libya. Je nimwambie waifu, au ataona wivu? Nishaurini

Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jamani hebu acheni kutuchekesha bana
 
Hivi ni wewe au nimesahau kuwa wiki iliyopita ulikuwa hapa unatafuta mpenzi wa muda( wa mkataba)? leo huyu unaye miaka miwili?

ulikuwa unatafuta mwingine wa nini?

Yaani afadhali umesema dada Michelle, hata nami nimeshangaa!!!
 
Dena this is bullshit, .....tunamweka mtu tusiyemjua maanani,tunampa ushauri then kumbe anadanganya....!!!!

I support you Michelle, yaani unakaa unapoteza muda hapa kumpa ushauri mtu wakati unajua ni upuuzi tu... lazima kutilia maanani hivi vitu.. manake watu wanapost uongo halafu mnajaza server kuchangia kumbe ni udwanzi tu...
 
Wanajamvi wenzangu naomba munielewe when i say a'm single I mean no sex. My self I can not test sex b4 married do you understand? Nieleweke kwamba si2mi thread za uongo kama munavyofikiri ni za kweli. MFA MAJI HAACHI KUTAPA... Inamaana kama naona mwanaume hanifai niendelee kumng'ang'ania huyohuyo? Never!! In short Nina weng nachagua wa kunifaa. baadhi yao thread zao ndo hizo. Ukweli ni kwamba wanaume wote hao ni wa kwangu ila nikiona mmoja haekei kunifaa natafuta msaada ili ikiwezekana niachane naye nisijitie matatizoni. shida yangu nahitaji mmoja 2 mwaminifu. Musinishambulie kuweni waelewa ndugu

Mhhh:A S 13::A S 13::A S 13:........na wakati unatafuta mpenzi wa mkataba, hapo ulikuwa unawaza nini? hayo mapenzi ya mkataba bila sex....ndo yakoje vile???
 
kuhusu wa mkataba niliahirisha kutokana na maushauri yenu. A'm in a very real trouble I need help. Niwape hongera wale waliokutana na mpenz mmoja na huyo huyo makemisty yao yakaendana. Hawajui adha 2nazopata sie wengine. Full kizunguzungu.

Wewe bado ni binti mdogo, tulia dada. Hebu mshirikishe Mungu kwenye utafutaji wako huo? Muombe Mungu atakusaidia na kukupa kijana mwaminifu! Kila la heri
 
Back
Top Bottom