Kingcobra
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,000
- 309
Wadau wa jamvi hili,
Hivi imewahi kuwatokea unakutana na binti mrembo wa haja, mwenye umbo linalopendwa na wengi na mvuto wa kila aina bila kusahau sauti nyororo ya mahaba lakini kinywa chake harufu mtindo mmoja? I am real sorry for my lovely sisters, hali hii imenitokea na ilinisononesha sana maana hata "kick" niliikosa nikabaki nasingizia ugonjwa tu ingawa baadaye nilifanikiwa kwa taaaaabu sana. Mbaya zaidi, ashiki yake inaonekana ipo kwenye kula denda, just imagine!!!
Jamani ndugu zangu wanaume na wanawake najua baadhi ya akina dada hunu jamvini watakwazwa na uzi huu lakini nimelazimika kuweka mambo hadharani ili iwe msaada kwa wengine. Jamani tuwe wakweli usafi wa kinywa ni very crucial katika mapenzi na hauji bila kujishughulisha. Lazima kuwe na affirmative action ya mtu katika kuhakikisha kuwa kinywa kinakuwa ksafi muda wote.
Weekend njema.