Mmmhh, Mwanamke Mrembo Kunuka Kinywa, Kwakweli Inasononesha!!

Kingcobra

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,000
309
Wadau wa jamvi hili,

Hivi imewahi kuwatokea unakutana na binti mrembo wa haja, mwenye umbo linalopendwa na wengi na mvuto wa kila aina bila kusahau sauti nyororo ya mahaba lakini kinywa chake harufu mtindo mmoja? I am real sorry for my lovely sisters, hali hii imenitokea na ilinisononesha sana maana hata "kick" niliikosa nikabaki nasingizia ugonjwa tu ingawa baadaye nilifanikiwa kwa taaaaabu sana. Mbaya zaidi, ashiki yake inaonekana ipo kwenye kula denda, just imagine!!!

Jamani ndugu zangu wanaume na wanawake najua baadhi ya akina dada hunu jamvini watakwazwa na uzi huu lakini nimelazimika kuweka mambo hadharani ili iwe msaada kwa wengine. Jamani tuwe wakweli usafi wa kinywa ni very crucial katika mapenzi na hauji bila kujishughulisha. Lazima kuwe na affirmative action ya mtu katika kuhakikisha kuwa kinywa kinakuwa ksafi muda wote.

Weekend njema.
 
Mi nishakuaga na mwananke wale wachamba kwa toilet pepa ( kunradhi kwa kuongelea hili). Sasa anakuja mtiane huku hajajiswafi kwa maji, sasa kunakua na kauvundo flani ivi kanakera sana. Day 1 nikavumilia ila sikumaliza maana ile kharf sie wangine hatuziezi. Sasa siku ya pili kabla ya kutiana nkamwonyesha washroom, loh kurudi mambo yakawa yaleyale, nikasema labda hivi ndio walivo wanaake wa bara (watani msikasirike)..nika-allow uhusiano uchukuliwe na kifo cha asili. Kimsingi usafi ni muhimu ili kufaudu tundi.

Wakatabahu/
 
Mkuu Kingcobr, umesema ukweli kabisa. Haipendezi kabisa binti anajiremba kwa kila hali halafu anasahau kinywa. Bora wewe ulijitahidi kupata hata kabao kamoja. Mimi nikisikia harufu ya kinywa hata kama binti kasaula kila kitu, mzee huwa hastuki kabisa. Usafi muhimu sana.
 
Mbona hapa bongo wanawake wengi tu hupendeza kwa macho kosa tu msalimie, mtumeee utakimbia. Mdomo, kwapa, harufu za mikorogo, na za kukukimbiza wewe utazipata hapo. Kuna baadhi wasafi lakini wengi wao wana harufu za migogoro halafu wanalilia kuolewa. Jipende ili umvutie mwanamme siyo kumlalamikia Mungu kila kukicha lini utapata mtu wako. Nanyi ndugu zangu wanaume, tafadhali nanyi mjitahidi hata kujichamba wacheni uvivu jamani. Binadamu utanukaje?
 
kingcobra, kama mdomoni hali ndio kama ivyo vipi mtaroni?? anywei kuna watu wengine wana matatizo ya kutoa harufu japo anafanya kila jitihada kujisafisha lakini ndio ivyo. you cant find someone hundred percent perfect kila mtu ana strength and weakness zake.
 
Kweli inakera kuna mdada huwa nikizungumza nae lazima kuwe na umbali wa mita fulani maana ni uvundo balaa. Mimi nakushauri mpe Big G kabla ya denda.
 
Kweli inakera kuna mdada huwa nikizungumza nae lazima kuwe na umbali wa mita fulani maana ni uvundo balaa. Mimi nakushauri mpe Big G kabla ya denda.

Wengine hata Big G haisaidii tena basi wakati mwingine ndiyo inakuwa balaa zaidi.
 
duuu lkn wengine inakuaga ugonjwa na wengine uvivu unachangia na wengine kujipodoa usoni kwingine watasafisha badae
 
Maradhi ya kwenye kinywa na fizi husababisha harufu mbaya. Zaidi ya kuusafisha ni vizuri pia kumuona mganga wa meno unapohisi mdono unatoa harufu.

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
 
Mi nishakuaga na mwananke wale wachamba kwa toilet pepa ( kunradhi kwa kuongelea hili). Sasa anakuja mtiane huku hajajiswafi kwa maji, sasa kunakua na kauvundo flani ivi kanakera sana. Day 1 nikavumilia ila sikumaliza maana ile kharf sie wangine hatuziezi. Sasa siku ya pili kabla ya kutiana nkamwonyesha washroom, loh kurudi mambo yakawa yaleyale, nikasema labda hivi ndio walivo wanaake wa bara (watani msikasirike)..nika-allow uhusiano uchukuliwe na kifo cha asili. Kimsingi usafi ni muhimu ili kufaudu tundi.

Wakatabahu/

My dear LARA1 hivi Kinondoni ni Bara ??????,
MwanaJamiiOne...........Nivea, Ciello........GFsonwin......KIng'asti ........wajameni hata kwa walio abroad hii habari imekaaje hapa..........dizzzzzziiiiiieeeeeeeee...............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mmmmmmhhhhh......ntatukanwa hapa bure..........kwa kosa lisilo langu......mmemsikia ammi Abdulhalim......!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hata wakaka tena ndo usiseme wapo kibao tu wanatoa harufu mdomoni. hili ni suala la usafi wa mtu binagsi halina uhusiani na jinsia ..
 
Duuu, hii kali sasa.

Usishangae hapa Dar mijibaba mingi haizingatii usafi wa mwilini. Utakuta mtu kwa siku anachapa demu mbili lakini haogi anajifuta tu shahawa na kwenda kwa mwingine ili aoshwe kwa kinywa (Yes, analazimisha kulambwa koni). Sitaji majina lakini kuna jamaa zangu nawajauwa fika wako hivi na wanajisifia kuwa wanalambwa koni na nyumba ndogo hivyo si lazima waoge. Hapo tu bado harufu ya jasho la mk.undu na kwapa. Yaani sie binadamu tuna mambo.
 
Kweli inakera kuna mdada huwa nikizungumza nae lazima kuwe na umbali wa mita fulani maana ni uvundo balaa. Mimi nakushauri mpe Big G kabla ya denda.

Kwa hali hii Big G haisadii kitu kwani ndo ataongeza kuvunda baada ya muda. Cha msingi ni kumkamata kwa nguvu na kumpigisha mswaki na maji ya moto huku ukijifanya unamtania kimapenzi. Kwa kweli kulala na partner anayetoa harufu ya chupi ya uvundo ni balaa. Tusipo jirekebisha tutakuwa tunavaliana face masks na helmet kabla ya tendo la ndoa kuepuka harufu na majanga mengine. Najuwa kuna wengine hawafanyi mapenzi na demu mpaka wajuwe fika huyo demu ananuka kumaanisha kuwa kakomaa. Yes, kuna watu wanapenda mademu wanaotoa natural odor (harufu ya uvundo) bila hiyo harufu mze hasimami. In short wanajifanya mabeberu yaani mpaka asikie harufu ya uvundo ndipo anapata hisia.
 
Body ordours is a piss off kabisaaa. Jasho, mdomo, miguu, nanihii!!!!! I wish mtu mwenye tatizo ningeweza kumuambia. Mkereketwa_Huyu, natural ordor sio ya uvundo, it is as sweet as brewed coffee.
 
Last edited by a moderator:
My dear LARA1 hivi Kinondoni ni Bara ??????,
MwanaJamiiOne...........Nivea, Ciello........GFsonwin......KIng'asti ........wajameni hata kwa walio abroad hii habari imekaaje hapa..........dizzzzzziiiiiieeeeeeeee...............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mmmmmmhhhhh......ntatukanwa hapa bure..........kwa kosa lisilo langu......mmemsikia ammi Abdulhalim......!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

achana nae, anaongelea bara ya huyo mwanamke pekee pekee. Kapewa kala kashiba anajidai alivumilia. Hana lolote¡
 
Kwa hali hii Big G haisadii kitu kwani ndo ataongeza kuvunda baada ya muda. Cha msingi ni kumkamata kwa nguvu na kumpigisha mswaki na maji ya moto huku ukijifanya unamtania kimapenzi. Kwa kweli kulala na partner anayetoa harufu ya chupi ya uvundo ni balaa. Tusipo jirekebisha tutakuwa tunavaliana face masks na helmet kabla ya tendo la ndoa kuepuka harufu na majanga mengine. Najuwa kuna wengine hawafanyi mapenzi na demu mpaka wajuwe fika huyo demu ananuka kumaanisha kuwa kakomaa. Yes, kuna watu wanapenda mademu wanaotoa natural odor (harufu ya uvundo) bila hiyo harufu mze hasimami. In short wanajifanya mabeberu yaani mpaka asikie harufu ya uvundo ndipo anapata hisia.

Unajuwa harufu ya mdomo siyo kwa ajili hawapigi mswaki, pia kula vyakula vyenye harufu kali inazidisha. Pia kuna aina ya kaugonjwa, ambao unaanzia kwenye matumbo, ule utumbo mkumbwa Colon kunuka. Unatiba zake hospitalini.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom