Mmmh!!!....hivi hii kweli ndio sababu ya mtoto kunyonya kidole???

Tysher

JF-Expert Member
Mar 26, 2013
207
76
Wanajf habari zenu!! Brothers wangu watatu wana watoto wasiopishana sana kiumri,yaani kama miaka 5,miaka 4 na mwingine miaka 3. Hawa watoto wote wananyonya vidole. Mwanzoni mwa huu mwezi wameletwa home likizo baada ya kufunga chekechea zao. Juzi kati kuna rafiki yangu alikuja home akawaona wakinyonya vidole,akaniambia eti sababu ya watoto hao kunyonya vidole ni kwamba mama zao walinyonywa sehemu za siri kwenye tendo lililosababisha mimba za hao watoto. WanaJF,kuna ukweli wowote hapo? Wajuzi tiririkeni
 
Ha ha ha mi nilidhan cause ni kukosa malezi ya kutosha ya mama yao kila mmoja hakupata muda wa kutosha kuenjoy maziwa ya mama so wali2mia kusuck vidole vyao kama nyonyo mbadala
 
inamaana hao brothers zako watatu kila mmoja ni gwiji la kuzama chumvini?? hii kitu haihusiani hata kidogo
 
Ha ha ha mi nilidhan cause ni kukosa malezi ya kutosha ya mama yao kwani wamepishana one year meaning walinyang'anyana ziwa kila mmoja hakupata muda wa kutosha kuenjoy maziwa ya mama so wali2mia kusuck vidole vyao kama nyonyo mbadala

:thumbdown::thumbup:
 
inamaana hao brothers zako watatu kila mmoja ni gwiji la kuzama chumvini?? hii kitu haihusiani hata kidogo

Hahaaahaaaaa,na me ndo nilishangaa. Ina maana kaka zangu wote wana hayo mambo?? Inaweza kuwa ni maneno mbofumbofu tu
 
Ungewauliza afu tukajua na sie. soko lako hapa jf linaweza kupaa kama uchumi wa bongo, who knows?

King'asti kuwauliza ni ngumu coz ni wakubwa kwangu wataona siwaheshimu ila nilimuuliza wifi yangu kwa utani,hakunijibu akabaki kucheka. Akasema ye mwenyewe amewahi kusikia hivyo
 
mnhhh watoto wana nyonya vidole toka enzi ambazo french kiss tu haijulikani bongo..
enzi za mkoloni na Nyerere...
 
Watoto wananyonya kidole purely for pleasure na siyo njaa. Mdomo kama ilivo chuchu na sehemu nyengine nyeti ni erotic zones ie give pleasure when excited. I am told baadhi ya wanawake are sexually aroused wakinyosha watoto. Human mind is programmed to seek pleasure and avoid pain.
 
Uongo mtupu, hakuna kitu kama hicho, sema tu huyo rafiki yako labda ni mdau wa chumvini na hiyo kitu imemganda kila aendapo feeling hazitoki kichwani mwake.
 
Hakyanani hizi tafiti nyingine huwa zinafanyiwa chooni, tena cha shimo!!!!!
Pole, kakudanganya mwenzio
 
Back
Top Bottom