TANZIA Mmiliki wa wa Masumin Stationaries, Shakirali Hassanali afariki nchini India

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,441
7,778
Shakirali Hassanali Almaarufu Mzee Masumin Amefariki nchini India leo Jumatano July 28, 2021. Mzee Masumin ameacha mke na watoto wanne.

Marehemu atazikwa leo Mjini Mumbai, India.

Masumin imekuwepo tangu mwaka 1985 na Mzee Sharikali amekuwa mchangiaji mkubwa kwenye Jumuiya ya Hussein, Dar es Salaam.

Masumini.jpg
 
Back
Top Bottom