Mmiliki wa vichwa vya treni pale bandarini alipatikana?

Ila baba alikuwa msanii yule sijapata kuona. Yaani anajiokotea vichwa vya treni?
Du Magufuli alikuwa hana subira,laiti angefanya mawasiliano na taasi zake kabla ya kutoa tamko angegundua kuwa vichwa vile ni mali ya serikali yaani TRC.
Ndio iliokuwa imeviagiza kwani havikushushwa kiholela kuna shipper na consignee katika bill of landing.
 
Mbona unatapika mapovu badala ya kuelewa kilicho andikwa?

Umesahau kuwa watanzania walitangaziwa mchana kweupe kuwa hivyo vichwa havikuwa na mwenyewe pale bandarini?
A story evolves with new information.

Baadae kama ilivyoripotiwa mwenyewe alijitokeza na wakafanya biashara na TRC.

Sasa tena baada ya miaka 3 ajabu eti hujui viko wapi.

Au unataka uletewe na video uwaone wazungu wenyewe wakisaini mkataba wa manunuzi.

Mshangao wa serikali nani kavileta ukawaulize hao PRL mbona awakujitokeza haraka train zao zilipofika bandarini mpaka serikali ikawa aielewi mwenyewe nani.

Ata wewe ukiagiza gari likafika ata kama wana info za mtumaji usipotokea watauliza mwenye gari ni nani?
 
A story evolves with new information.

Baadae kama ilivyoripotiwa mwenyewe alijitokeza na wakafanya biashara na TRC.

Sasa tena baada ya miaka 3 ajabu eti hujui viko wapi.

Au unataka uletewe na video uwaone wazungu wenyewe wakisaini mkataba wa manunuzi.

Labda ukawaulize hao PRL mbona awakujitokeza haraka train zao zilipofika bandarini mpaka serikali ikawa aielewi mwenyewe nani.
Kwahiyo hivyo vichwa vilijipakia vyenyewe kwenye meli hadi vikafika bandarini dsm ?

Kulikuwa na umuhimu gani kujifanya vichwa havina mwenyewe wakati vishaingia nchini?

Alikuwa anadanganywa nani na kwa manufaa ya nani?
 
Agiza gari usitokee bandarini uone kama utapigiwa simu ata kama wana details zako.

Ujafika siku zikipita wanapiga mnada tu.

Train zimefika bandarini wao wana shipping info, mwenye mali atokei; sasa hapo cha kushangaa ni kitu gani serikali ikiuliza mwenye mzigo yupo wapi au mbona aonekani.

Making a fuss over nothing
 
Hiii Nchi kwa sasa tumekosa kiranja mwenye sauti kuuu. Vichwa vya Treni vimenunuliwa toka kwa muuuzaji hewa Sterling Mbalawa. Bwawa la Nyerere tunaaambiwa hakuna Crane ya kubebea mzigo wa tani 26 hivyo halitajazwa maji ili Umeme uendelee kuwa shida Sterling Makamba. Wanyama kuwindwa ruksa .. Sterling Ndumbaro. Watumishi vyeti feki ruksa kurejea na kulipwa Sterling Mchengerwa. Mbolea iuzwe mfuko elf 95 badala ya elfu 50 Sterling Prof. Mkenda. Mgao wa Umeme uendeleee kwasababu wakati wa JPM mashine zilichoka sana kwa kuwashwa muda wooote Makamba tena. Mafuta kupanda Bei licha ya tozo kuondolewa Mpigaji wa Bumbuli. Watumishi Hewa warudi na wapo kwa wingi sasa, Mkwe wetu steringi.
Shule za Serikali kubagazwa kwenye usahihishaji wa Mitihani ili zionekane si kitu Prof Ndchako.
Mawe ya utafiti wa Madini na Makinikia ruksa kupelekwa Popote duniani Biteko the Don. Nappe, Membe, Ndugai nk wanaendelea kutia vionjo ili mziki uendelee kunoga.
Yaaaani ni hasira zimetujaaaaaa tunasubiri upenyo muone hasira zetu Watanzania.
Rostam Aziz Mungu anakuona na Kiwanda chako cha Morogoro. Jiwe upumzike Mwamba uliwanyooosha sana hawa Vibwengo lkn ipo siku.
Kamfufue uzikwe wewe.shwaini kabisa
 
Kuuliza wala siyo ujinga wana JF.

Imenibidi kuwauliza nyie labda kuna mtu ana kumbukumbu ya wapi vilienda vile vichwa vya treni vilivyo okotwa pale bandarini.

Maana tuliambiwa havikuwa na mwenyewe na je hivi leo vipo wapi au alipatikana mwenyewe akavichukua?

Hiii Bongo hii wacha kabisaaaa

View attachment 2008952
Hivi kuna mtu alichukulia bila utani kwamba kweli vichwa hivyo vya treni hajulikani mwenyewe? Mbali na kauli zilizotolewa na Askofu Gwajima katikati ya mwaka kwamba amepata fedha taslimu za kununulia treni nzima, inabidi kujulikana moja kwa moja ni vya nani. Kama si vya Gwajima, lazima viwe vya serikali (kupitia shirika la reli). Aidha, mizigo inayokuja na meli huwa na karatasi zinazosema mzigo umetoka wapi, nani katuma, unakwenda wapi, mwenye mali ni nani, nk. Ingekuwa kifurushi cha dawa za kulevya labda hapo ndiyo taarifa husika zingeweza kuwa za kubabaisha.
 
Mkuu sisi kama wananchi wa kawaida sana kwenye jamii ya watanzania tuliambiwa kuwa vile vichwa havinaagizwa na serikali.

Kama havijaagizwa na serikali nani mhusika ? Hakujitokeza mtu na maana yake ni kuwa viliokotwa.
 
Mataga muda wenu umekwisha, pumzikeni.
Kutesa kwa zamu.

Back
Top Bottom