Mmiliki wa shule za Cananura anawanyanyasa wafanyakazi, miezi mitatu hajalipa mishahara

balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
15,376
13,771
Shule hizi zinamilikiwa na Dk. Datus Rweyemamu ziko kitunda.

Rweyemamu ni mtu hatari sana,ananyanyasa wafanyakazi hasa walimu,mishahara ni kidogo sana, anawatukana, na ukidai haki unafukuzwa on the spot.

Jamaa hafai kabisa anawafungia wafanyakazi utafikiri watumwa na mke wake anatukana acha.

Miezi mitatu sasa hajalipa mishahara.
 
Hivi kama hulipi mishahara muda wote huo,wafanyakazi wataishije kama si kukimbia na kwenda kwingine?
 
Aisee,namtu mwenyewe Bwenga ndio kabisaaa.

Hizi shule binafsi nazo majanga kweli.
Kama hawalipi vizuri basi wazazi wanaibiwa hapo,maana hata taaluma itakuwa hovyo,,labda wanunue mitihani,maana baadhi ya hizi shule nazo majanga
 
Back
Top Bottom