Mmiliki wa Radio iliyotumiwa kufanya mapinduzi akimbia Burundi

MKONGA

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
667
453
Mkurugenzi wa kituo cha RPA cha nchini Burundi, Bob Rugurika ambacho Gen Niyombare alitangaza kufanya mapinduzi,amekimbia nchi yake.
 
Angeshtakiwa ila angejitetea kuwa kituo kilitekwa. Kukimbia moja kwa moja hapo amekuza tatizo.
 
Walikosea mahesabu.
Walitakiwa teka sehemu muhimu na kuhakikisha wanapata support kubwa hata wangewapa wananchi siraha wawasaidie... ila haikuwa bahati yao, ngoja waonje joto la jiwe
 
mapinduzi yamezimwa vp nkurunzinza mbona hatumuoni jamani? bado yuko kijijini kwake
 
Bob rugurike ni mhariri, mmiliki wa hiyo redio ni Sinduhije ambaye aligombea urais mwaka 2010.
 
Back
Top Bottom