Mmiliki wa Nyamuge Medium Schools- Nyasaka afariki gafla

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Siku ya ijumaa alikuwa mzima kabisa wa afya ila kufikia Jumamosi mida ya saa kumi na moja asubuhi alikimbizwa hospitalini Bugando na kufika muda wa saa moja asubuhi akaaga dunia. Jirani yangu ni Mmiliki wa Nyamuge Medium Schools- Nyasaka. Inasikitisha sana.
 
Mpoto huyu msanii?
Ndiyo

1590335281822.png
 
Siku ya ijumaa alikuwa mzima kabisa wa afya ila kufikia Jumamosi mida ya saa kumi na moja asubuhi alikimbizwa hospitalini Bugando na kufika muda wa saa moja asubuhi akaaga dunia. Jirani yangu ni Mmiliki wa Nyamuge Medium Schools- Nyasaka. Inasikitisha sana.
Kuna trend hiyo inaanza kutokea watu kufa ghafla. Ni tatizo linakuja kwa sasa. Nina case kama 3 za hivyo!
 
Jamaa bado yupo na hana utani ni terminator....tuvae barakoa na ikiwezekana safari zisizo za lazima tuache nazo.
 
Siku ya ijumaa alikuwa mzima kabisa wa afya ila kufikia Jumamosi mida ya saa kumi na moja asubuhi alikimbizwa hospitalini Bugando na kufika muda wa saa moja asubuhi akaaga dunia. Jirani yangu ni Mmiliki wa Nyamuge Medium Schools- Nyasaka. Inasikitisha sana.
Pole Sana Jirani yake. Huenda ni Heart attack (Shambulio la Moyo). Mungu awape Faraja Familia na Majirani. Kifo cha Ghafla kinauma sana
 
Siku ya ijumaa alikuwa mzima kabisa wa afya ila kufikia Jumamosi mida ya saa kumi na moja asubuhi alikimbizwa hospitalini Bugando na kufika muda wa saa moja asubuhi akaaga dunia. Jirani yangu ni Mmiliki wa Nyamuge Medium Schools- Nyasaka. Inasikitisha sana.

Wizara ya afya wamesema hicho kifo kimesababishwa na nini?
 
Back
Top Bottom