Mmiliki wa Meli ya Mafuta ya Japan akana maelezo ya viongozi wa Marekani

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,439
50,961
Mmiliki wa meli ya Mafuta iliyolipuliwa huko ghuba ya Oman, amekana maelezo yaliyotolewa na maofisa wa Marekani waliodai kwamba meli hiyo iilshambuliwa na boti wanazoamini kuwa ni za Iran.
Mmiliki huyo wa meli hiyo anasema walipata taarifa kuwa kuna kitu kiliruka juu ya Meli hiyo kabla ya mlipuko na wala si sababu ya bomu ambalo Wamarekani wanadai lilitumika kushambulia meli hiyo:

MY TAKE:
mashambuliz ya kubambikiza yametumika sana kuanzisha vita au kujaribu kuanzisha vita, Mwaka 1967 Israel ilishambulia meli ya kivita ya Marekani iitwayo USS LIBERTY na kuua wanamaji takriban 34, Lengo likiwa ni kuisingizia Misri ili marekani aunge mkono Vita vya Israel dhidi ya nchi za Kiarabu, vita ambayo serikali ya wakati huo iligoma kuitambua.
Pia kabla ya Vita ya Vietnam huko kwenye Gulf of Tongkun, marekani alishambulia meli zake yenyewe kisha kuwasingizia Wavyetinamu kuwa ndiyo wahusika.
Naona na sasa Irani wanaitengenezea matukio kisha kujaribu kuipiga dunia "kiswahili" kuwa Irani ndiyo wahusika.
Irani imekana vikali sana kuhusika na mashambulizi haya, inayaona kama FALSE FLAG operations ili Wamarekani na Washirika wake wapate sababu za kuishambulia.
Lakini pia matukio haya huenda yanalenga kutengeneza hali ya usalama tete ili bei ya mafuta ipande halafu Marekani ambayo siku hizi inazalisha mafuta, na nchi za kiarabu ambazo zimepoteza pesa nyingi kwenye vita huko Syria na Yemen ziweze kupata pesa ndefu!.
Alipohutubia wanajeshi wake majuzi Kiongozi wa Hizbollah bwana Hassan Nasrallah alisema, kama ikitokea vita, basi hiyo vita haitakuwa limited kwa Irani peke yake, bali eneo lote hilo la arabia litawaka moto!!
---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
By Linda Givetash and Arata Yamamoto
The Japanese owner of a tanker attacked in the Gulf of Oman claimed Friday that it was struck by a flying projectile, contradicting reports by U.S. officials and the military on the source of the blast.
U.S. Central Command said the two vessels were hit Thursday by a limpet mine, which is attached to boats below the waterline using magnets. U.S. Central Command released video it claimed showed an Iranian Revolutionary Guard Corps patrol boat removing an unexploded mine from one of the tankers, the Kokuka Courageous.

But on Friday morning, the owner of the 560-foot Courageous, said that sailors saw something flying toward the vessel just before the explosion and that the impact was well above the waterline.

Trump blames oil tanker attacks on Iran, citing video evidence
JUNE 15, 201901:59

"We received reports that something flew towards the ship," said Yutaka Katada, president of Kokaku Sangyo Co. at a press conference. "The place where the projectile landed was significantly higher than the water level, so we are absolutely sure that this wasn’t a torpedo.
"I do not think there was a time bomb or an object attached to the side of the ship."
U.S. officials have not yet responded to the claims. But President Donald Trump reiterated U.S. allegations that Iran was behind the attack, telling the Fox News Channel that the incident had "Iran written all over it."
Secretary of State Mike Pompeo said on Thursday that the weapons used and the level of expertise behind the attack suggested Tehran is the culprit.

SOURCE: https://www.nbcnews.com/news/world/...t-u-s-officials-over-explosives-used-n1017556
 
... huyo mmiliki yuko ofisini anakula kiyoyozi; hana jeshi wala intelligence site ya kutambua uvamizi, ujambazi, ugaidi, n.k. Angalau statement ingetolewa na Serikali ya Japan ingeeleweka na sio mmiliki wa meli. Mh. Kinana, kwa mfano, anamiliki pia meli, yuko ofisini kwake atawezaje kujua kilichoisibu meli yake baharini? Mambo mengine ni ya level za kiserikali badala ya mtu binafsi.
 
Mashudu
 
We mbona hufikirii yani wale waliopo kwenye meli hawawezi kumuleza kilicho tokea tajiri yao? USA yeye hata kabla ya hizo fake image alizo zileta, kusikia tu mlipuko kasema Iran. Huyo ndo anashangaza sio Mamliki kasubiria ukweli kwanza ndio kaongea kilicho tokea.
 
... huyo mmiliki yuko ofisini anakula kiyoyozi; hana jeshi wala intelligence site ya kutambua uvamizi, ujambazi, ugaidi, n.k. Angalau statement ingetolewa na Serikali ya Japan ingeeleweka na sio mmiliki wa meli. Mh. Kinana, kwa mfano, anamiliki pia meli, yuko ofisini kwake atawezaje kujua kilichoisibu meli yake baharini? Mambo mengine ni ya level za kiserikali badala ya mtu binafsi.
Peleka wewe makalio yako ukatoe ripot Kama huyo mmiliki wa meli ameongopa, we mndengereko ndo unaxema Kweli, mnaombea Vita kwenye nchi za wenzenu, watakaokufa ni binadamu pia,
 
Peleka wewe makalio yako ukatoe ripot Kama huyo mmiliki wa meli ameongopa, we mndengereko ndo unaxema Kweli, mnaombea Vita kwenye nchi za wenzenu, watakaokufa ni binadamu pia,
Anaskitisha sana huyu jamaa, yaani yy kazi kulalamika tuu kuhusu Iran
 
Amerika kinachomgharimu anafikiri Dunia bado ipo kwenye giza totoro kuhusu propaganda zake. Mbaya zaidi hazibidiliki ni zilezile. Wakati Irani ameonesha ulimwengu kilichotokea kwamba hausuki kwa video safi. Amerika analeta video kama mipicha ya moon landing ya Apollo 11ndiyo ushahidi wake.
 
Wakuu hainingii akilini kwamba irani ishambulie meli ya Japan wakati waziri mkuu was Japan(Abe Shizo) alikuwa iran wakati wa shambulizi kwa ajili ya mazungumzo ya kupunguza misuguano Kati ya US na Iran.
Hapo kuna mtu anataka kuwagombanisha Japan na Iran
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom