Mmiliki wa Mashujaa Nangurukuru ni nani?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,515
44,573
Naomba nijuzwe boss aliyejenga hotel ya mashujaa na pia ana redio ya mashujaa na kile kiwanda cha maji.
 
Roho za kimaskini hizi kwani akimiliki Kassim Kuna shida gani.Maskini wengi Wana tabia ya umbeya,chuki kwa mafanikio ya wengine na wivu.Tafuta maisha yako achana na ya wengine
Na aliyeiendeleza hio roho ya kimaskini kisawasawa Ni yule aliyesemaga kwny utawala wake matajiri watafanywa chochote kile na wataishi Kama mashetani.
 
Nikuambie ukweli hakuna watu wabaya kama sisi ngozi nyeusi

Ukifanikiwa nikosa kubwa sana kwa wao
Sana kabisa , sisi weusi na miroho yetu myeusiii, wanapenda kuzusha chuki tu, kwanza hata akimiliki shida iko wapi? ila wamwera hawapendani kabisa
 
Back
Top Bottom