Mmiliki wa Mabasi ya SATCO, uliowakabidhi gari ya Kahama-Dodoma wanakuharibia biashaara

Buku 2 ndiyo zinalipa gharama tena zaidi kuliko hata nauli yako tokea mwanzo wa safari hadi mwisho
Duu, Kama ni hivo basi Shabibi, ABC n.k wanapata hasara, maana wao mkidhapanca wananyoka
 
Nawatahadhrisha na wale wa Mwanza -Dar, kuna gari wanaipamba Sana luxury Scania injili nyuma inaitwa Kureed hunters,usiijaribu Hata Kwa nusu Nauli
 
Basi we Ni bo----ya. Wenzako Frester na Kisibo wanatoka hapo wamejaza. Hiyo Gari watu hawapandi unabaki kuokoteza watu wa buku mbili mbili, wakati chombo Ni mpya kabisa. Chombo inapita hadi minadani jamani. Inashusha na kupakia kila eneo Kama mchomoko.
Nakwambia hao wa buku mbili mbili nao wataikimbia kwa sababu itafika sehemu na wao wataona inawachelewesha.
Yaani Kuna Lori tumetoka nalo Sekenke haki ya mungu tumefika nalo Dodoma eti. Hata Noa zimetuacha njiani. Jing--a Sana Hawa jamaa. Hiyo Gari wanaishushia hadhi kabisa Hawa mbu--++++zi
Inakera kweli kweli yaani.... Kibaya zaidi mtu unakata tiketi unapanda unasubili lijae likijaa ndo mnaanza kusimama simama yaani upumbavu balaa.inatia hadira saaaaaaana
 
Nimeona video insta imepelekwa kigoma mamaeee lile vumbi alilotimua si mchezo mpaka mchukua video alishindwa kuona mbele.....sijui ni kibondo pale hakuna lami
Ile video ni njia ya Mpanda. Inaenda kote kote..Mpanda au Kigoma. Kuna ile CUW nayo iko vizuri.
 
Hapana boss. Vyuma vingine mbona vinajaa kuanzia kahama. Sema hawa hi gari wameshaitengezea image mbaya kwa raia Kama ilivyotokea kwangu. So hhawaipandi, matokeo yake haiwezi kujaza ndo waanajikuta wanakusanya watu wa buku mbili mwili
Abiria hakuna mdau usilalamike.....

Naijua iyo hali maana nilipitia usimamizi wa mabasi miaka ile
 
Nawatahadhrisha na wale wa Mwanza -Dar, kuna gari wanaipamba Sana luxury Scania injili nyuma inaitwa Kureed hunters,usiijaribu Hata Kwa nusu Nauli
Isharudi barabarani ile iliyopata ajali.....ila lile basi sio jipya kabisa lazima tu liwe na majanga
 
Back
Top Bottom