Mmiliki wa kituo cha mafuta Tankibovu BP, huyu kijana Magafu anawafukuzia wateja

HAYA MAMBO YA WATU KUKUWEKEA MAFUTA YAONDOKE, WAWEKE PUMP ZA AUTOMATIC KILA MTU AJIHUDUMIE. TECHNOLOGIA IPO KWANINI ISITUMIKE HAPA KWETU TANZANIA?. KWANINI HADI LEO/2019 MSUMBUANE NA MTU KUWEKA MAFUTA KWENYE GARI?!
Tumeanza na ya mtandaooo mkuu
 
Kulikuwaga na wale watu wazima mpaka wanakufutia kioo cha gari na kukuchekia mafuta kumbe washaondolewa
Sijuiii waliendagaaa WAPI amebaki mmojaaa anamoyo wakazi na hakoo kabinti wanapenda kazizaooo
 
Kwa hyo Humu ndo sehemu ya kulalamikia

are we him?
Is he us?

Peleka barua Ofisin au kwenye Sanduku La posta so Unakuja kuweka Huku Jamii forum afu unamtaja jina
Je Kama ana matatzo yake ya msingi Utakuja badae kumsafisha Baada ya kumchafua na hayo maneno yako ya kashfa?
Kama ana matatizo ya msingi akae nyumbani.
 
Total ndio wana Mafuta mazur zaid
Km ulikuwa akilini mwangu nilikuwa nawazaga jinsi ya kupata access ya kuwasiliana na maboss wa hapa.

Hapo ndio kituo jirani au cha karibu na ninapoishi, hao wahudumu wanakera wanaringa utadhani mafuta unapewa BURE

1.Unaweza kuingia pale wanajua kbs mafuta hakuna na wamekaa next to pump wanakuacha unapaki unafungua tank hlf wamekaa tu ukipiga honi ndio wanakwambia mafuta hakuna tena si kwa maneno bali ishara.

2.Unaingia pale unaona kbs kuna pump iko free na kuna mhudumu unakuacha unapaki hlf anakwambia nenda pump ile pale yeye ahudumii kwa muda huo

3.Wanajivuta kuhudumia utadhani wanelazimishwa kuja kazini.
Anyway tatizo ni sisi wateja kuwa na trust na PUMA au BP kwa kuwa kuna HISA za serikali pale hivyo mafuta yao yatakuwa na required qualities ,kingine ni just uzalendo



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona hivyo unashuka unauliza kuna shida gani mbona hupati huduma au huduma mbovu, ukimaliza kuwasikiliza wape "Ilm" kidogo.

Waambie ajira sio za kuchezea, wasibweteke coz wapo ofisini, wasione wamefika, wachape kazi, wapo vijana kibao mtaani hawana hata mia na means za kuipata hiyo mia hawana, wape ILM ya customer care/service na umuhimu wake..

Niliwahi kufanya hivyo sehemu fulani, nilipomaliza kiongozi wao alikuja akanishukuru mno... Fundisha unapoona inafaa, watanzania wengi hatujui mambo mengi na bahati mbaya hatujui kuwa hatujui.
 
Hapo kuna mawili

1. Uenda kuna biashara nyingine inafanyika kimya kimya ambayo ni profitable zaidi ya hiyo ya kuuza mafuta au

2. Wafanyakazi hawana hamasa malipo madogo na mmliki wana hajali ilo
 
NIWAPONGEEZE UONGOZI KUSIKIA SHIDA ZETU JANA NA LEO KUNA SURA MPYA UKIFIKA ZINAKUITA KAMA KILE KITUO CHA VICTORIA INAPENDEZA ZAIDI....

MBARIKIWE ILA JAMA WATAFUTIENI KAZI MBADALA WABAKI NA NYODOHUKO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom