Mmiliki wa Hotel ya Malaika Mwanza ni nani?

kipira

Senior Member
Aug 5, 2009
142
56
Heshima mbele wakuu, mtakubaliana na mimi kwa mliokwisha fika ktk hotel hii ya Malaika Mwanza kuwa viwango vyake ni vya hali ya juu sana, the hotel is in the off shores of lake Victoria, a state of art hotel, accomodation one night is Usd 150. Huu ndo uwekezaji tunaotaka kuuona ukifanyika nchini lakini pia serikali ipate kodi na vijana ajira. Sasa swali ni je muwekezaji huyu ni nani???
 
Umesema uzuri wa hotel na pia gharama mbona mi nimegundua kuwa wewe unamjua mwekezaji?!
 
... Huu ndo uwekezaji tunaotaka kuuona ukifanyika nchini lakini pia serikali ipate kodi na vijana ajira. Sasa swali ni je muwekezaji huyu ni nani???[/QUOTE said:
Anaitwa Ridhiwani. Hapa ndipo baadhi ya wahariri walikosa vyumba
walivyobook, kisa, eti Ridhiwani alikuwa ameweka wapambe wake wa UVCCM.
Mzozo ulikuwa mkubwa hadi RPC Mwanza alifika. Baadaye huyo kijana
anayeitwa Ridhiwani Kikwete alikuja kuomba radhi, akijitetea kuwa
hakuzuia vyumba na wagei wake walikuwa wameondoka asubuhi ya siku hiyo.
 
subiri tu utapewa taarifa rasmi kama za EPA, RICHMOND,KAGODA NK. kwani nazo zilianza hivihivi
 
heshima mbele wakuu, mtakubaliana na mimi kwa mliokwisha fika ktk hotel hii ya malaika mwanza kuwa viwango vyake ni vya hali ya juu sana, the hotel is in the off shores of lake victoria, a state of art hotel, accomodation one night is usd 150. Huu ndo uwekezaji tunaotaka kuuona ukifanyika nchini lakini pia serikali ipate kodi na vijana ajira. Sasa swali ni je muwekezaji huyu ni nani???

diamond the platinum
 
Utakoma kitongoli wacha wenye nazo watumie we kama vipi komaa na guest house za 3000 maji kwa ndoo,net unakujanayo mwenyewe,choo foleni.
 
Heshima mbele wakuu, mtakubaliana na mimi kwa mliokwisha fika ktk hotel hii ya Malaika Mwanza kuwa viwango vyake ni vya hali ya juu sana, the hotel is in the off shores of lake Victoria, a state of art hotel, accomodation one night is Usd 150. Huu ndo uwekezaji tunaotaka kuuona ukifanyika nchini lakini pia serikali ipate kodi na vijana ajira. Sasa swali ni je muwekezaji huyu ni nani???
Unamtaka wanini sasa?umeshasifia,umeshapenda Kwani wewe ni TRA?mind your own business!nahisi kma unamjua vile halafu kuna kawivu Fulani ndani Yako.
 
Heshima mbele wakuu, mtakubaliana na mimi kwa mliokwisha fika ktk hotel hii ya Malaika Mwanza kuwa viwango vyake ni vya hali ya juu sana, the hotel is in the off shores of lake Victoria, a state of art hotel, accomodation one night is Usd 150. Huu ndo uwekezaji tunaotaka kuuona ukifanyika nchini lakini pia serikali ipate kodi na vijana ajira. Sasa swali ni je muwekezaji huyu ni nani???

Acha upuuzi wewe! Angekuwa baba yako anamiliki ungelileta hapa? Wivu tu inamaana kila kitu kizuri lazima mtafute mmiliki wake? Hizi ni zama za biashara huria na sio ujamaa. Uanze kuelimika naona elimu yako ya haikusaidii. Nyie ndo mnasoma vyuo vya Modern commercial halafu mnajiita watalaam!
 
Mwenyewe anaitwa Manoj ni wakala mashirika ya ndege hapa mwanza na ni mfanyabiashara wa usafiri wa watalii. Zaidi fafanua na wewe
 
Amejitahidi sana kuwekeza tunampa hongera zake...ukiwa mwanza airport ukiruka kwa upande wa ziwani una enjoy sana mandhari yake.....safi sana
 
Msipate shida, mwenyewe ni mimi kwamtoro. Niliumiza kichwa kidogo. Jina la hotel amelitoa binti wangu wa mwisho. Yupo IST grade one. Teh Teh Teh safi sana. Nimeona kuweka pesa kwenye account za njee ni ujinga mtupu.
Asikwambie mtu, nimetengeneza ajira za kutosha. Sasa hivi nataka kutoa kitu kingine zaidi ya hiko pale Dodoma.
Makofi tafadhali
 
Heshima mbele wakuu, mtakubaliana na mimi kwa mliokwisha fika ktk hotel hii ya Malaika Mwanza kuwa viwango vyake ni vya hali ya juu sana, the hotel is in the off shores of lake Victoria, a state of art hotel, accomodation one night is Usd 150. Huu ndo uwekezaji tunaotaka kuuona ukifanyika nchini lakini pia serikali ipate kodi na vijana ajira. Sasa swali ni je muwekezaji huyu ni nani???

USD 150 per night mbona ni bei ya kawaida mkuu
 
Acha upuuzi wewe! Angekuwa baba yako anamiliki ungelileta hapa? Wivu tu inamaana kila kitu kizuri lazima mtafute mmiliki wake? Hizi ni zama za biashara huria na sio ujamaa. Uanze kuelimika naona elimu yako ya haikusaidii. Nyie ndo mnasoma vyuo vya Modern commercial halafu mnajiita watalaam!

nimependa sana hii coment big up kaka wajenge na wao pia zao sio kuhoji hoji za wenzao fikra za kimaskin hzo
 
Back
Top Bottom