Mmiliki wa Facebook apingana na Twitter kuhariri tweets za watu baada ya Twitter kuhariri tweet ya Trump

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Mmiliki wa Facebook (Instagram, WhatsApp na Facebook yenyewe) bwana Mark Zuckerberg amepingana na Twitter kuhariri tweets za watu na kusema wao hawahariri tweets za wanasiasa.

Mark amesema mitandao ya kijamii inapaswa kuacha kuwa polisi wa maoni ya watu. Twitter Facebook na mitandao mingine inatumika kama neutral ground, ni user generated contents na sio chombo cha utoaji habari hivyo uhariri ni kinyume na utaratibu.

Twitter imeingia kwenye tafrani baada ya kuhariri tweet ya Trump. Trump ameahidi kuwashughulikia.

Twitter imeonekana ina mlengo wa kuingilia uchaguzi na kumharibia Trump baada ya kuonekana wanamlenga yeye binafsi.

Mkuu wa uhariri wa Twitter ameonekana ni mtu ambae hampendi Trump na aliwaita wafuasi wa Trump wa nazi.

Twitter imeandikiwa barua ijieleze kwa nini isichukuliwe kama chombo cha habari badala ya mtandao wa kijamii. Mbona wachina walipotumia twitter kuandika habari kua Corona ni ugonjwa umeanzishwa na jeshi la Marekani Twitter haikuhariri?

20200528_104737.jpg
20200528_104740.jpg


====

Facebook CEO Mark Zuckerberg weighs in on President Trump’s public spat with Twitter over its fact-checking policy during an interview airing Thursday on Fox News Channel’s “The Daily Briefing.”

Zuckerberg told Fox News anchor Dana Perino that Facebook and other social media companies should avoid policing content on their platforms. His remarks came shortly after Trump threatened to take “big action” against Twitter after the platform added fact checks to two of his recent tweets.

“We have a different policy than, I think, Twitter on this,” Zuckerberg said. “I just believe strongly that Facebook shouldn’t be the arbiter of truth of everything that people say online. In general, private companies probably shouldn’t be – especially these platform companies – shouldn’t be in the position of doing that.”

Trump’s longstanding dispute with Twitter was reignited Wednesday after the president claimed that use of mail-in ballots would result in voter fraud and “substantially fraudulent” election results this November. The social media platform added disclaimers to two tweets, urging Twitter users to “get the facts about mail-in ballots.”

The move led Trump to reiterate his long-held claims that social media companies are suppressing conservative voices on their platforms. He threatened to take “big action” against Twitter over the dispute.

A Twitter spokesperson said Trump’s tweets “contain potentially misleading information about voting processes and have been labeled to provide additional context around mail-in ballots.” The platform revealed earlier this month that it would begin labeling posts that contain potentially misleading material.

Facebook uses third-party fact-checkers on its platform. The company’s website notes that “Posts and ads from politicians are generally not subjected to fact-checking” under its policy.

An identical Trump post regarding mail-in ballots was untouched on Facebook as of Wednesday afternoon.


Perino’s full interview with Zuckerberg will air on “The Daily Briefing” on Thursday at 2 p.m. ET on Fox News Channel.

Facebook CEO Mark Zuckerberg reacts to Trump, Twitter fact-check dispute
 
Ana ugomvi binafsi na twitter na linken kwakuwa wamakataa kununuliwa na yeye

Jr
 
... sikujua hilo. Kama ndivyo JF nayo kwa kuhariri messages za watu au kuzifuta kabisa wako vizuri. Sijajua ni pengine ni kwa sababu ya sheria (mbovu?); vitisho vya wasiojulikana? Au kuna sababu nyingine inawapelekea JF kufanya hivyo.
 
Hii hali ni kama Jamii forum ya sasa labda ituambie na wao inachukuliaje hii hali ya kufuta nyuzi za watu na kuhariri au kuunganisha .
 
Back
Top Bottom