Sijui kama ilishawahi postiwa hapa!
Habari nilizonazo ni kuwa mmoja kati ya watu ambao Mh. Ngeleja aliwataja kuwa ni wamiliki wa Dowans, Bw. Guy Picard amefariki dunia nchini kwao Canada.
Bw. Picard alikuwa anasumbuliwa na saratani ya utumbo kwa muda mrefu na alikuwa nchini Canada kwa matibabu.
Mwenyezi Mungu ailaze mahali pema Peponi roho ya marehemu Picard.
Inna lillah waina illahi rajiun!