Mmiliki wa chama ni wanachama


mwengeso

mwengeso

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Messages
5,806
Likes
3,187
Points
280
mwengeso

mwengeso

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2014
5,806 3,187 280
Hilo ni somo kwa viongozi wa vyama vya siasa kwamba mmiliki wa hivyo vyama ni wanachama wenyewe.

Maana yake halisi, maamuzi yoyote ya kichama lazima yatolewe na wanachama, ama kwenye mkutano mkuu au kupitia kwenye vikao vilivyoainishwa kikatiba.

Wanapolaumu Viongozi wa Serikali, ati kwa utawala unaovunja Katiba, wao hao hawaheshimu Katiba za vyama vyao, kwa viongozi kuhodhi maamuzi ya kichama.

Hakika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM, umeonesha njia iliyo sahihi ya mageuzi ya kweli katika chama. Hongereni wajumbe wa kikao hicho.
 

Forum statistics

Threads 1,272,346
Members 489,924
Posts 30,448,179