Mmiliki halali wa jengo la Yanga ni nani?

kidodosi

JF-Expert Member
May 1, 2013
2,290
1,379
Kama kuna mtu anajua mmiliki halali wa jengo la club ya Yanga pale Jangwani naomba atoe ufafanuzi hapa.
 
Hilo jengo kwanza linataka kupigwa mnada viongozi wao wauza sembe walikopa pesa ya kumnunuwa okwi wameshindw kurudisha mlion 170
 
kama kuna mtu anajua mmiliki halali wa jengo la club ya Yanga pale Jangwani naomba atoe ufafanuzi hapa,

Jengo la Yanga halafu unatafuta mmiliki? Huu ni uchizi sasa, ukiacha jengo hilo Yanga pia inamiliki jengo lingine kariakoo mtaa wa mafia.
 
Jengo la Yanga halafu unatafuta mmiliki? Huu ni uchizi sasa, ukiacha jengo hilo Yanga pia inamiliki jengo lingine kariakoo mtaa wa mafia.

weka uthibitisho basi Matola, wacha kutokwa na povu, period
 
1471700833590.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom