Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Hahaha pole sanaAisee nimekukumbuka mbali sana,
siji kusahau siku nilivyonyolewa kwa mkasi na mwalimu fulani hivi kisa nilifuga nywele.
Hahaha pole sana
Ni noumerDuuh, huyu kinyozi
Kinyozi bingwaha ha kinyozi wa mtaa!!
HtrKinyozi wa mwendokasi huyo
Ni balaaNi noumer
Nakumbuka kipindi fulani (pengine darasa la pili au la tatu hivi) nilikuwa na tatizo la chawa basi kunyolewa na walimu wa zamu hata viranja ilikuwa ni kawaida tu. Ila hii ya kupandiwa mabegani aisee hii ni mpya. Si ajabu Mshana Jr anahusika hapa!Aisee nimekukumbuka mbali sana,
siji kusahau siku nilivyonyolewa kwa mkasi na mwalimu fulani hivi kisa nilifuga nywele.
Hahaha dahHuyo siyo kinyozi bali ni mganga wa kienyeji anafanya yake
Hahaha chawa tenaNakumbuka kipindi fulani (pengine darasa la pili au la tatu hivi) nilikuwa na tatizo la chawa basi kunyolewa na walimu wa zamu hata viranja ilikuwa ni kawaida tu. Ila hii ya kupandiwa mabegani aisee hii ni mpya. Si ajabu Mshana Jr anahusika hapa!