MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Nimejaribu kupita maeneo mengi kuanzia hapa sokoni kilombero, nikapandisha juu kule Sanawari na Floria mpaka Sakini na kupitia njia ya kwa Morombo. Habari ni moja tu, rambirambi na na RC Gambo ndio habari ya mjini. Ni kusema awa wananchi wamelishwa maneno na baadhi ya viongozi au ndio uelewa wao tu?
Leo hii ndio nimeona kua mkoa huu kwenye mwamko wa kufuatilia mambo ni tofauti kabisa na mikoa mingine. Yaani wao ni kutaka kujua sababu ya kila kitu chanzo chake.Taifa hili tungaekua na mwamko wa aina hii nafikiri tungekua na vizazi bora sana.
Lakini pamoja na hayo yote, Mbona RC Gambo keshatolea ufafanuzi wa kila jambo? Kwanini msiende mahakamani kushtaki kama kuna walakini jamani mna nini?
Wanasihi sana Wanaarusha mtulie tu kama walivyotulia wanakagera! Yatapita tu haya,kikubwa tuchape kazi taifa lisonge mbele.