Lekanjobe Kubinika
JF-Expert Member
- Dec 6, 2006
- 3,020
- 577
Ha, ha, haaaaa! Thanx, old news to those who have seen it before is new news to those on their first grip. Gazeti la 1947 ni jipya kwa macho ambayo hayajawahi kuona. Now add on your new news on this still circulating!old news nothing new
Usipende kudadafya vya watu,je ukikuta na jina la dada yako na ndugu zako wengi wa familia yako,utafanyaje?Nimeiona inazunguka tu, kumbe kitambo ati. Kama ni kweli tumekwisha!
Leka
Usipende kudadafya vya watu,je ukikuta na jina la dada yako na ndugu zako wengi wa familia yako,utafanyaje?
Nitaacha mdomo wazi kwa bumbuwazi. Na wewe je?Usipende kudadafya vya watu,je ukikuta na jina la dada yako na ndugu zako wengi wa familia yako,utafanyaje?
Me presha ingepanda na kushukaNitaacha mdomo wazi kwa bumbuwazi. Na wewe je?
mmh,nashangaa nilipitia kama watano hapo,hata sikumbuki km walikuwa na magari mekundu,na nimecheki niko pooowa,bwana ashukuriwe.hii list imeorodhesha masupa star wanawake wote wa bongo,napata shida kuiamini,ina maana alikuwa atembei na watoto wasio na majina makubwa??mbona hao mademu wote hawakupewa magari mekundu au meusi?
Ndiyo nini tena hiyo? Au jina limesahaulika hilo? Wamesema unaweza kuongeza unaowafahamu wewe, dont sink but think twice before others think on you. Hakuna haja ya jazba, umeulizwa kama umeshaiona hiyo. Kama umeiona si unyamaze tu? Muulize Invisible anasema sema mawazo yako hapa jamvini na sio upuzi.Wala sio thinker kama unafyum katika mambo unayodhani ni shit kwako, unaachana nayo na ndiyo democrasia sahihi. "Kuvumiliana"Great sinkers monkeying....Medieval shyt.
Ha ha ha haaaa! Ulijifunika kichwa kwa mamvuli? au ulivaa viatu mabuti na soxi za mjerumani? Tupatie siri ya mafanikio.mmh,nashangaa nilipitia kama watano hapo,hata sikumbuki km walikuwa na magari mekundu,na nimecheki niko pooowa,bwana ashukuriwe.