Mmh! Umewahi kuiona hii hapo?

Lekanjobe Kubinika

JF-Expert Member
Dec 6, 2006
3,020
576
Nimeiona inazunguka tu, kumbe kitambo ati. Kama ni kweli tumekwisha!

Leka
 
Attachments

  • Scanned_document_04-02-2009_12-10-03.pdf
    247.6 KB · Views: 257
old news nothing new
Ha, ha, haaaaa! Thanx, old news to those who have seen it before is new news to those on their first grip. Gazeti la 1947 ni jipya kwa macho ambayo hayajawahi kuona. Now add on your new news on this still circulating!

Leka
 
i1763_Scanneddocument04022009121003Page1.jpg
i1761_Scanneddocument04022009121003Page21.jpg

i1760_Scanneddocument04022009121003Page22.jpg

Nasikia mademu hao hao walikuwa wanajivinjari na pedeshee hawa hapa chini....
i1762_Scanneddocument04022009121003Page3.jpg

yaani hata mpenzi wangu Eather Lema Kapitiwa na Liyumba, siamini.watakuwa wanampakazia tu.
 
hii list imeorodhesha masupa star wanawake wote wa bongo,napata shida kuiamini,ina maana alikuwa atembei na watoto wasio na majina makubwa??mbona hao mademu wote hawakupewa magari mekundu au meusi?
 
hii list imeorodhesha masupa star wanawake wote wa bongo,napata shida kuiamini,ina maana alikuwa atembei na watoto wasio na majina makubwa??mbona hao mademu wote hawakupewa magari mekundu au meusi?
mmh,nashangaa nilipitia kama watano hapo,hata sikumbuki km walikuwa na magari mekundu,na nimecheki niko pooowa,bwana ashukuriwe.
 
Great sinkers monkeying....Medieval shyt.
Ndiyo nini tena hiyo? Au jina limesahaulika hilo? Wamesema unaweza kuongeza unaowafahamu wewe, dont sink but think twice before others think on you. Hakuna haja ya jazba, umeulizwa kama umeshaiona hiyo. Kama umeiona si unyamaze tu? Muulize Invisible anasema sema mawazo yako hapa jamvini na sio upuzi.Wala sio thinker kama unafyum katika mambo unayodhani ni shit kwako, unaachana nayo na ndiyo democrasia sahihi. "Kuvumiliana"
 
mmh,nashangaa nilipitia kama watano hapo,hata sikumbuki km walikuwa na magari mekundu,na nimecheki niko pooowa,bwana ashukuriwe.
Ha ha ha haaaa! Ulijifunika kichwa kwa mamvuli? au ulivaa viatu mabuti na soxi za mjerumani? Tupatie siri ya mafanikio.
 
Back
Top Bottom