Mmh mbona wakina Mwajuma ndala ndefu tupo au ni hayo makaratasi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1545442456699.jpeg

1545449218993.png
 
Kiumri huyo bibi na jamaa, ni sawa na mtu na mtoto wake wa tatu.

Ila kibongo bongo jinsi tulivo wanafiki, mawifi zake huyo bibi watakua full kumchamba bi harusi, ila ndio watakao maliza makreti ya bia harusini na kuvunja miguu kwa kucheza kwaito.
 
Haya unayafanyia Ilala Boma na binamu zako. Home mother wako anaweza kumwamkia granny shikamoo
 
Back
Top Bottom