King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,042
- 1,349
Thubutu hatutaki kukaa meza moja na wauaji , wamwaga damu , blood suckers .Chadema wakubali yaishe. Walishiriki uchaguzi ili wapate kura .Wamepata wabunge 20.Si haba wawape ushirikiano wawashe moto bungeni. Waendelee kujenga chama. Na waongee hoja bungeni. Maana huku nje wakiongea wanaitwa wachochezi.