Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 5,255
- 7,920
Aolewe mara 2? Mbona alishaolewaga na yule jamaa wa PPFWewe Paskali umri unaenda lakini akili yako inaenda inapungua kila siku, yule uliyekuwa unamfagilia ameshakufa, na rais wa sasa ameonesha wazi kwamba jpm alikuwa anafanya mambo bila kutumia akili japokuwa nyie wavimba macho mlikuwa manalazimisha tumuunge mkono, wewe kwa hali uliyofikia sasa hivi umebakiza kuolewa tu, hakuna jingine linalokufaa, unaweza kuweka uthibitisho hapa kwamba Halima Mdee na wenzake waliteuliwa na chadema ?, na kama hutaweza then niambie jina gani linakustahili wewe hasa, wakati mwingine kukaa kimya ni Hekima na Busara pia.